Nahisi kama naota vile

Nahisi kama naota vile

Mi na wewe bado hatujamalizana. vuta pumzi.

wewe ni stress sitaki kabisa Mr M anatimiza wajibu vizuri sana tu

weeewe karibia kila mtu

alafu machale yamenicheza wewe ndo umempeleka umukagame kwenu

alafu mkaenga gulioni
 
Halafu wewe huwa nakulia timing sana. Hapo aliyepotea ni umukagame but mleta mada kachemka thats why unaona members tunatumia fursa kutongozana katika thread yake.

hahahahha unajua why watu wanafanya hivyo

mr presdent kamaliza kila kitu sisi tukaone tuulizie eti chelsea jana kapigwa ngapi hahhaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom