Nahisi kama najisumbua

wala usikomae ni sawa na kuridhi mjane baadae atakuja kujilaumu kwa nn hakuolewa na huyo jamaa yake hasa
mambo yanapokwenda mrama
 

mkuu watu 8 naomba ufute kauli kuwa nawachezea wasichana unafikiri huyo uliyemquort na huyu ninayemzunguzia ni tofauti.......!!!!
 
wala usikomae ni sawa na kuridhi mjane baadae atakuja kujilaumu kwa nn hakuolewa na huyo jamaa yake hasa
mambo yanapokwenda mrama

upo sawa kabisa mkuu!!!
ni heri niwe peke yangu tu kama wataona umuhimu wangu busara itafata!!!!
 
we mwenyew ungekua unampenda usingejali kafel mara ngap 4m 4

huyu jamaa inaelekea hampendi shemeji yetu we huoni maziro ya mpz wake anavyoyatamka kwenye hii thread
 

daaaah!!!!! mkuu unanifunua kichwa sasa mnaishije au ndo kila kitu kwake "yes!"
 
Ki ukwel hapo uliposema tu form four kapata zero ndipo ulipoharibu na tatzo sio ndugu zake naona wewe ndio tatzo

bora wakamtaftie wa kijijin asiekua na habar za dvishen zerroooo

ila sijamwonyeshea dharau yoyote kwake hadi kwao kwann wanifanyie hivyo!!!!
 

yes inawezekana ila mtoto hanielezi kama kuna walakini wowote upande wa kwao labda nim'bane sana huenda kuna jambo kweli....!!!!
 
Inaonesha tatizo lako kubwa ni yey kufel fm foo coz ingekuwa tatizo kukutaliwa ukwen wala usingeeleza habar ya yeye kupata ziro, kumbuka maisha ni mipango na kujua namna ya kutekeleza mipango hyo ili kufikia malengo kisomo sio lazima kuna watu weng hawajasoma na wanamafanikio makubwa zaid kuliko walosoma.
 

tatizo kubwa ni wazazi mkuu sio kufeli 4m 4........:A S 103:
 
tatizo lingine kila kitu namfundisha mimi jinsi ya kuishi na mpenzi hadi kitandani...... uzuri ananisikiliza na anaheshimu yote nimwambiayo!!!!
Anafanya vizuri sana kukusikiliza na kuheshimu mawazo yako, lakini je anakupa changamoto? Akiwa mtu wa kusikiliza na kusema "ndio mzee" utaumia...lazima akupe changamoto.
 
Kama hakupendi achana nae, kama anakupenda muoe na umfungulie kijiwe cha kuuza hata ice cream maana inaonekana hana kipaji cha kusoma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…