Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,931
- 4,006
Kule ndio nyumba, hata akirudi atasema kama Lowassa narudi nyumbani ila tatizo ni kwamba hicho chama hakishiriki uchanguziKile chenye nembo na kauli mbiu ya no reforms no election
Kule ndio nyumba, hata akirudi atasema kama Lowassa narudi nyumbani ila tatizo ni kwamba hicho chama hakishiriki uchanguziKile chenye nembo na kauli mbiu ya no reforms no election
Lini aliwahi kuwa CCM?Labda aende kugombea Chadema, kwa maana CCM hatumuhitaji tena.
..........ya mama itapakwa mafuta na nchi wahisani mpk ilainike na kukubali kufanya reforms. Halafu chadema itashiriki uchaguzi.Kule ndio nyumba, hata akirudi atasema kama Lowassa narudi nyumbani ila tatizo ni kwamba hicho chama hakishiriki uchanguzi
Aiseee,..........ya mama itapakwa mafuta na nchi wahisani mpk ilainike na kukubali kufanya reforms. Halafu chadema itashiriki uchaguzi.
Dah!Lini aliwahi kuwa CCM?