Nahisi dada wa kazi ana hisia na mume wangu

Pole Aisee
It's true Sisi tusio weza kuzungumza Kun mda yanakukuta unajiuliza Au huu ni unyonge Wangu ?

Anywayzz, Hapo ni bora Mume wako anakuonesha Ushirikiano laiti Kama angekua anavunga Maswali yangekua Mengi kwako

Ni vizuri wadada wa kazi Wawe vibinti vidogo vidogo, Huy anaonekana Mkubwa na anayajua Vizuri
Wewe and Mumeo ndio wenye Maamuzi
Mtimueni
mabinti wadogo inatakiwa wawe shule, haki elimu itakushitaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuangalia kwa jicho langu la tatu,
Nimekuona una shida pahali,
1. Ulichelewa kulia wakati unazaliwa,
2. Ulidondokea kisogo ulipokua mdogo,
Mara nyingi watu kama nyie hua wazito katika kutoa maamuzi halafu mnaishia kuumia ndani kwa ndani,
Huyo house girl si wako tena ivooo mrudishe kwao au kua mke mwenza.
 
"mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu"

Si mnajifanya feminists. Ona housegirl anavyojisubmit kwa mumeo.Ukiondoka saa nne asubuhi dada anascream choke me zaddy.Ukirudi wanakuchora tu na ukalikali wako.
 
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muonee huruma ndoa ivunjike
 
Mleta mada jiangalie,iv dada wa kazi (sio ndugu yako) anakufanyia hayo badala umface unakimbilia jf..

Wanaume sisi ni viumbe wa aina yake sasa ngoja hyo jamaa yako alambe mzigo kama wewe ujawa house girl na yeye kua mother house!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Mwite, mbele ya mumeo; mpe job description. Maana yawezekana mengine unasababisha wewe kwa kujiachia sana.

2. Mpe uhuru wa kutoka nje hata kidogo. Usimbane bane sana.

3. Siku zote awe mtu wa karibu naye. Usimuweke mbali sana, muwe kama marafiki kidogo tu ila asikuzoee sana.

4. Mshauri kuhusu kujilinda na kuepuka mimba. Mwambie kabisa mabaharia hawacheleweshi kumwagia ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si umtimue tu
 
acha akusaidie mradi mke mkubwa ni ww, wasichana wa kazi huwa wanatuokoa sana sisi wanaume kutupooza
 
50-50, unaweza kuta, tayali shemeji kapita, ila ndio kama vile, wanacheza movie!
 
Endelea kumfuga mwisho wa siku angalia usije kuondoka wewe

Dada toa iyo Takataka uko ndani Kabla mambo hayajawa Bum bum
 
Back
Top Bottom