Nahisi dada wa kazi ana hisia na mume wangu

HII stori ingenoga na kapicha kidogo..Mwachie weekend awe anatoka haa beach akazibuliwe na masela...ila kwa jinsi muvi inavyoenda nadhan jamaa ashakula mzigo kuku wa kienyeji....chukua hatua
 
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mme wako ndo Ali Anza Kuwa na hisia naye, na sababu ni kwamba unamnyima unyumba ukifikiri wewe tu ndo una hiyo kitu!

Dada anakusaidia uliposhindwa na hilo ndo lengo la Kuwa na Dada!
 
"Dada ananiambia mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu" .......Wanaume ni dhaifu sana, usipochukua hatua ndoa inaenda kuingia kwenye misukosuko mikubwa muda siyo mrefu,unaenda kupinduliwa.Mfukuze(Kuna siku utaukumbuka ushauri huu usipochukua hatua)
Kwani huyo mfanyakazi, akiliwa nini kitaalibiaka ndani? Anaweza msahau mke kisa kafanyakazi ka ndani??
 
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dalili ya mvua ni mawingu!

Chukua hatua.

Mme wako msaniii, yeye ndo alimwanza, sasa Dada anapambana akuondoe, hivi mwanaume gani mkewe anaambiwa hivyo ananyamaza?

Nyie wote wenu (you deserve each other) kwa maneno ya Judge Judy! Mme wako alipaswa mkemea huyo Dada, hicho kiburi na dharau kwake ni kwamba Mpo sawa, mnatumia kitanda kimoja!

Deal with your husband!
 
Pole na hongera angalau umeonyesha busara kuleta mada jukwaani kuliko kufanya kama mwenzako alivyomtwanga mwishowe akaua..

Ila pia uwe tayar kuchukua mawazo mema yale mabaya uyapuuze.

Kwavile una hisia yakuwa mfanyakazi anatembea na mumeo,naomba ufanye uchunguzi wa uhakika zaid si kuhisia kwa maneno.

Maana unaweza mfukuza bint wa watu kumbe umemwonea,kuna mabint huwa wanajisahau na pengine weww ukahisi vibaya kumbe she is only doing for gud heart kama mtoto wa nyumban.

Ukiona una moyo mdogo na ulipofika huwez kabisa kukaa nae na kujiridhisha zaid basi mshikirikishe mume wako mwondoe huyo binti..

Otherwise...pambania ndoa yako...
 
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ila je ! Kuna siku ambayo Mr alibaki au alirudi nyumbani wakawa pamoja ? Maana kwa maneno yake inaonekana kuna kitu kinampa kiburi

Uzuri hata yeye ameona mabadiliko. Kumuondoa sioni kama utahisiwa una wivu. Binafsi nashauri ufanye hili, mwite binti na umweleze kuwa unataka kuwa na kikao na Mr na yeye akiwpo. Ila unatakiwa umpe Mr taarifa ya kikao na awe tayari kuongelea jambo hilo. Kama binti ataendelea kuwa na tabia hiyo, basi utamrudisha kwao.
 
Huruma itakuponza.. mwambie aende akatafute Mwanaume wake.. aachane kabisa na MR wako.. anajua gharama ulizo tumia hadi Mr wako anaonekana hivyo?
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa uionee huruma ndoa yako kwanza,huyo dada atajifunza mbele ya safari,utakuja kujuta,huruma isizidi kipimo.
 
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.u

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni binadamu aliyekamilika kama wewe. Kwa kuwa wewe una nyege na yeye pia anatamani kulalia ukuni kama wewe ufanyavyo.

Huwa mnawaona wasichana wa kazi hawana ku..ma na hawastahili kuwa na nyege na kutom. bwa hapo ndio wamama wengi mnapofeli.
 
Back
Top Bottom