Nahisi dada wa kazi ana hisia na mume wangu

Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi niko hapa njia panda mbona sikuoni ili nikushauri? Kama mumeo anapiga hiyo muke ya nyongeza hata ukiitimua ataipangishia geto hasa kama amekuzidi uno, ila kwakuwa umeshaona viashiria we mtimue una umetimiza sehemu yako.
 
Angalia usijekuta unaonea huruma hali duni ya familia yake lakini yeye haionei huruma ndoa yako, anatamani akupindue ili familia yake iishi vizuri huko kijijini,
Kuendelea kumpa nafasi zaidi ni kuzidi kuiweka ndoa yako shakani...

Huyo ni wa kuachananae sio wa kuongea nae, mwishowe aanze kumwambia mumeo mambo yako hata km sio kweli ndio utajua akili za wanaume zilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo huruma ndo inawaliza ninyi jinsia ya kike.. Hiyo Huruma ndo inampa stress Tanasha, Zari na wengine wengi.. Mungu ashakuonesha sasa kazi kwako.
 
Pole Aisee
It's true Sisi tusio weza kuzungumza Kun mda yanakukuta unajiuliza Au huu ni unyonge Wangu ?

Anywayzz, Hapo ni bora Mume wako anakuonesha Ushirikiano laiti Kama angekua anavunga Maswali yangekua Mengi kwako

Ni vizuri wadada wa kazi Wawe vibinti vidogo vidogo, Huy anaonekana Mkubwa na anayajua Vizuri
Wewe and Mumeo ndio wenye Maamuzi
Mtimueni
Kuna wa jirani yangu ana miaka 16 anamtongoza baba mwenye nyumba nimeona hizo sms za hako kabinti na kanajisifia kanaweza kuliko huyo mke wa jirani....
Jamaa amemwambia mkewe amfukuze lkn anamtetea balaa kua ni mfanyakazi mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu anawezaje kuishi na dada wa kazi ambaye hawana hata ka undugu ka kuungaunga??
 
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
usipochukua hatua hapo kinachoeendelea ni Movement 4 change
 
Mke wangu umekuja kusemea uku naomba umrudishe kwao kabla sijaaza kuwahi kurudi home Mana ndakuwa namkula kila siku kabla hujarudi kazini. Nahisi kumbe anahisia na Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmenifungua macho, nilikuwa najiuliza dada anatoa wapi jeuri ya kuongea maneno kama hayo
Nilitaka kusema hii kitu, jamaa ananla huyo Dada na ndio maana Dada ana jeuri, jamaa anachokifanya ni kucheza na akili ya mkewe ionekane kama hafurahii tabia ya Dada lkn jamaa na Dada lao moja.
Na usikute jamaa lilishamwambia Dada napenda chakula unachopika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
**** siku nilikua nimekaa nje mahakamani nasubiri issue zangu, sasa ktk bench tulikua tumekaa na binti mmoja anafuatilia mirathi ya nyumba iliyoachwa na marehemu baba yao.

Kitu cha kustaajabisha kilichowashangaza wengi ni kwamba, marehemu alibadilisha hati jina na kumuandikisha house girl wao na kumkabidhi hati original.
Baada ya kufuatilia ikaonekama house girl alipandishwa cheo nazee na kumuwowa.

Ujumbe umefika hapo nadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
unakosea kumuita dada huyo ni mke mwenzako,mke wangu aliwahi kuniletea tabia kama hizo zako ndenda kamuulize kilichomkuta
 
Back
Top Bottom