Nikimuuliza kitu anaweza akanijibu kama vile yupo na boyfriend wake. Mama yake nikimuuliza kulikoni anasema nae hajui lolote anashangaa amebadilika gafla.
Nadhani huyu binti ameshaanza kudukuliwa na wajanja.
Kiungo chochote katika mwili wa
binadamu kisipotumika kwa muda mrefu
kinakuwa dhaifu baadae huanza kupotea kidogo kidogo na mwishowe hutoweka kabisa.. Kwahiyo ni sawa tu binti kudukuliwa ili kuimarisha kiungo chake kuepusha madhara ya kupotea hapo baadae...!
Kama wewe naye ni baba,basi anavyokujibu binti yuko sahihi,unawezaje kuandika na kumuwazia mwanao upuuzi kama huu na baadae kumuanzishia uzi jf,tena lugha uliyotumia haina staha kwa baba mwenye maadili mazuri
Nikimuuliza kitu anaweza akanijibu kama vile yupo na boyfriend wake.Mama ake nikimuuliza kulikoni anasema nae hajui lolote!!.anashangaa amebadilika gafla.