Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,365
- 8,631
Ooh pole sister, niwewe kweli?Ndio umeamua uje unitangaze hapa
We ni fala kweli, yaani mtu akikuangalia tayari anakupenda? Huenda anakufananisha na nyani wa nyumbani kwao, na wewe ulivyo zuzu unakenua kama huyo nyani.Habari zenu wakuu;
Kuna jambo linanipa tabu kidogo, kuna sister mgeni kanisani kwetu amekuja kuungana na ma sister wengine kuendeleza utume.
Sasa kila nikikutana naye huwa kama ananipenda hivi, muda mwingine tunaangaliana kwa kuibia ibia halafu kama tunafurahi hivi.
Sijui ni nini hiki ila mimi nimempenda kweli na nauhakika anajua au hata kuhisi hivyo, sijui naanzia wapi. Kila nikimkumbuka natamani jumapili ifike nikutane naye, nifurahi.
Wajuzi wa haya mambo naombeni uzoefu wenu.
Wewe konokono na usister utauokotea wapi??Ndio umeamua uje unitangaze hapa
🤣🤣🤣 jamaniWe ni fala kweli, yaani mtu akikuangalia tayari anakupenda? Huenda anakufananisha na nyani wa nyumbani kwao, na wewe ulivyo zuzu unakenua kama huyo nyani.
Toa location ya Kanisa ili kuongeza waumini.Habari zenu wakuu;
Kuna jambo linanipa tabu kidogo, kuna sister mgeni kanisani kwetu amekuja kuungana na ma sister wengine kuendeleza utume.
Sasa kila nikikutana naye huwa kama ananipenda hivi, muda mwingine tunaangaliana kwa kuibia ibia halafu kama tunafurahi hivi.
Sijui ni nini hiki ila mimi nimempenda kweli na nauhakika anajua au hata kuhisi hivyo, sijui naanzia wapi. Kila nikimkumbuka natamani Jumapili ifike nikutane naye, nifurahi.
Wajuzi wa haya mambo naombeni uzoefu wenu.
ili mje kunihabia zali?Toa location ya Kanisa ili kuongeza waumini.
Ni wivu tu unawasumbua baadhi ya wachangiaji. Wanafikiri ntafaidi sana kula vitu vitakatifu.Hizo komenti sasa...mtoa mada hana hamu
Wewe ni sista kumbe? Mbona huna bikra hata moja, hata ya mkono tu.Ndio umeamua uje unitangaze hapa
Subai labalaiiđź‘‹Wewe ni sista kumbe? Mbona huna bikra hata moja, hata ya mkono tu.
Epaaa mamalai. Ekenywaa!?Subai labalaiiđź‘‹
Eehh labalai🙂Epaaa mamalai. Ekenywaa!?