mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,427
- Thread starter
-
- #21
Duh hawa viumbe ni noma sana, kwa maelezo yako mafupi tu inaonesha wazi kuna Mchaga wa moshi anakula mzigo demu wako. Pole sana mkuu.
kaa kando bila kupiga simu wala kum-text kwa mwezi mmoja ukiona amekaa kimya na yeye achana naye
Huna mkataba naye, lolote linaweza kutokea na inabidi wewe ukubaliane na matokeo. Angekuwa mke wako hapo ungepiga kelele hata mpaka kwa Baba Paroko, ingekuwa haki yako. Lakini hapo mzee POTEZEA.
nilishawah mfanyia hvo mkuu nilikaa nusu cku bila kumtafuta jioni aliniomba msamaha nakusema hata rudia
Fanya yko tu.......mpaka umehisi kuwa unadanganywa basi 98.9% unadanganywa kweli,maana huwez sema hivyo kama hakuna mabadiliko.
Ushaur wangu kwako,yakupasa uwe bize na shughuli zako......utampata atakayekupenda.Huyo bint ameshaonja mibolo mingine utapata nae shida tu.
Kuna jamaa yangu anaendeshwa na falsafa ya 'akifaulu atasumbua" akmaansha kuwa akienda chuo huwa wanabadilika.
then baada ya kukuomba msamaha ikawaje? alibadilika?
Kaka sihukumu ila jaribu kuwa na plan B fasta. Huyo binti kuna kila dalili amepata mtu mwingine kwahiyo anakuona wewe gozi gozi.
Unafanya kazi? Fanya kwa juhudi. Kama unasoma soma kwa juhudi ufanikiwe mbayaaa! Utamuona anarudi.
Endelea kumsahau kama ulivyo wasahau waleeeeee wa kumbolela!!!!
nachelea kusema atakua
amehadaika na mwingine huko
kashakutana na kina mangi ndio maana
kibri imeanza,kama vp jikatae,ya nn kujipa
presure ilhali mmejuana ukubwani!!
Miaka mitano, umetitahidi mkuu big up, hayo mambo ni kawaida tu wew jikaze upiganie miaka mitano mengine, utajikuta umemaliza nae miaka 50 ya Uhuru
Mkuu samahani kidogo, hapa chini kuna link inaonyesha kuna kipindi ulikuwa unalalamika sana dem wako anachukuliwa na lecturer, vipi iliishiaje? Cheki hapa chini. Vipi ndo huyo huyo tena leo unadai anakudanganya au huyo ni mwingine
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/496913-lecture-anamtaka-mpenz-wangu.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-mfumo-huu-wadada-nawanyoshea-mikono.html
habari ndugu zangu wa mmu,mimi ni kijana nina mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda sana nimeanza kuwa na mahusiano naye toka yy akiwa form 3 na huku mimi nikiwa namaliza form six(2008).kwa sasa tuna miaka mitano katika mapenz yetu.tatizo ni kwamba sasa amebadilika amekuwa na kiburi na mwepesi wa kulaumu .ameanza tabia hyo mwaka jana alipoingia chuo huko moshi,nikimwambia kitu anasema me na wivu sana sijui simwamini ,siku hizi nikimpigia simu usiku anadai amechoka mara anazima simu usiku hapatikani .nimemwambia abadilike lakin sijaona any change.kiukwel nampenda na nimemzoea sana kila nikijaribu kumwacha nikifikiria nilikotoka naye naumia. msaada wa maoni yenu plz
NB mimi nishamalza chuo na ninafanya kazi na matumiz madogo madogo nampa