mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
habari ndugu zangu wa mmu,mimi ni kijana nina mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda sana nimeanza kuwa na mahusiano naye toka yy akiwa form 3 na huku mimi nikiwa namaliza form six(2008).kwa sasa tuna miaka mitano katika mapenz yetu.tatizo ni kwamba sasa amebadilika amekuwa na kiburi na mwepesi wa kulaumu .ameanza tabia hyo mwaka jana alipoingia chuo huko moshi,nikimwambia kitu anasema me na wivu sana sijui simwamini ,siku hizi nikimpigia simu usiku anadai amechoka mara anazima simu usiku hapatikani .nimemwambia abadilike lakin sijaona any change.kiukwel nampenda na nimemzoea sana kila nikijaribu kumwacha nikifikiria nilikotoka naye naumia. msaada wa maoni yenu plz
NB mimi nishamalza chuo na ninafanya kazi na matumiz madogo madogo nampa
Update
Now nimeachana naye rasmi baada ya kuconfirm hanipendi ila hajasema reason za kutonipenda kumbe nilikuwa najpendekeza kwake.