Nahamia Kisarawe

Jana serikali kupitia kiongozi fulani wa kamati ya bunge niliona wanahimiza usambazwaji wa kondomu matumizi ya kondomu nchini.

Nyani babu hakikisha unapata boksi lako.
 
Kila la heri. Maana hii nayo naona ni njia kuunga mkono juhudi za serikali hii ya viwanda.
 
Kama ndio kipaumbele chako hicho kila la kheri mkuu..












Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
Mungu Ibariki Gairo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom