Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,402
- 5,527
Thanks mkuu.. Ila naomba unikaribishe japo na soda mkuu.. au vipiKaribu jf
Jana ndo nimejiunga mkuu.. Sina expirience sana humuUnaonekana mwenyeji
Asante mkuu, nimekaribiaKaribu JF
Tulia mkuu, me mgeni humu usishangaeUnayo marinda Maana Hatukuelewi Elewi?
Umeua mkuuKaribu mkuu ila umbea na ulafi viache kwako, HAPA NJOO UTETE ONDOKA UTETWE
Sawa mkuu.. nimekuelewaKaribu mkuu ila umbea na ulafi viache kwako, HAPA NJOO UTETE ONDOKA UTETWE
Thanks miss chaggakaribu sana
thank you masterWelcome
Ur welcam ndugu yako niko hapaHabari za mda huu wakuu... mimi ni MEMBER MPYA, hivyo nachukuwa fursa hii kupiga hodi humu ndani..
Siku nyingi nilikuwa mtu wa kuperuzi tu thread za watu mbalimbali, So nashukuru leo hii kuwa JF mtandao wa wajanja.
Naomba mnikaribishe Tafadhari