Nagombea urais wa "inji" hii 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nagombea urais wa "inji" hii 2010

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilema, Dec 4, 2009.

 1. kilema

  kilema Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wana JF naomba mniunge mkono nataka kugombea urais wa "INJI" hii 2010.

  SERA ZANGU NI HIZI HAPA
  • WAHINDI WOTE KWAO INDIA
  • WAPEMBA WOTE KWAO
  • WALIOTUHUMIWA UIFISADI WOTE RISASI HADHARANI
  • KAZI ZOTE ZA SERIKALI NATANGAZA UPYA
  • MIKATABA YOTE FISADI NAFUTA
  • VIONGOZI WOTE WALIOKAA MADARAKANI SANA FUTA
  • SAFISHA JESHI LA POLISI
  • SAFISHA MAHAKAMA
  • NITAUNDA BARAZA LA WATAALAMU LA KUMUSHAURI RAIS
  • NITAJENGA BARABARA KUUNGANISHA WILAYA NA TARAFA ZOTE
  • NITANZISHA MFUMO NA MTANDAO WA MASOKO YA WAKULIMA KILA WILAYA
  • NITAPELEKA WATAALAMU NVIFAA NA PEMBEJEO KWA WAKULIMA BURE
  • VIONGOZI WOTE NA WAFANYAKAZI WATAFANYA KAZI KWA MKATABA WA MALENGO ASIPOFIKIA MALENGO OIT
  • NITAANDISHA MFUMO WA TAARIFA TOKA CHINI KIJIJINI MPAKA JUU KILA SIKU
  • NITAUNDA BARAZA DOGO SANA LA MAWAZIRI WASIOZIDI KUMI NA MBILI
  • MSAFARA WANGU WA MAGARI NI MAGARI 3
  • MAGARI YA SERIKALI NI YATAKUWA YA AINA MOJA SUZUKI TU
  • NIONGEZEENI WANAJAMII
   
 2. GP

  GP JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  makofi tafadhaliiiii!.
  ila hapa kwa kweli mnnnnhhh:
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Wahindi wote kwao india ( kwa kuwa wao sio watanzania au ? )
  wapemba wote kwao ( unagombea uraisi wa nchi gani ? )
  waliotuhumiwa uifisadi wote risasi hadharani ( kuna vyombo vya sheria kushugulikia haya nchi hii inaendeshwa kwa sheria )
  kazi zote za serikali natangaza upya ( vipi kuhusu mikataba ya kazi )mikataba yote fisadi nafuta ( una kazi sana mahakama ndio inauwezo huo ) viongozi wote waliokaa madarakani sana futa ( wewe ndio uliwateuwa ? )safisha jeshi la polisi ( kwa makosa gani ?)
  safisha mahakama ( kwa uwezo gani ulio nao )
  nitaunda baraza la wataalamu la kumushauri rais ( raisi wa sasa hashauriwi ?)nitajenga barabara kuunganisha wilaya na tarafa zote ( kwa pesa za nani mikopo ?)nitanzisha mfumo na mtandao wa masoko ya wakulima kila wilaya
  nitapeleka wataalamu nvifaa na pembejeo kwa wakulima bure
  viongozi wote na wafanyakazi watafanya kazi kwa mkataba wa malengo asipofikia malengo oit
  nitaandisha mfumo wa taarifa toka chini kijijini mpaka juu kila siku ( unajua ni vijiji vingapi vyenye umeme na huduma za mawasiliano )
  nitaunda baraza dogo sana la mawaziri wasiozidi kumi na mbili
  msafara wangu wa magari ni magari 3 ( inawezekana utakuw ana basi moja lililobeba wote hao )magari ya serikali ni yatakuwa ya aina moja suzuki tu ( kila kiongozi anahitaji gari zuri lenye usalama na uwezo wa kufanya kazi sehemu yoyote ya nchi )niongezeeni wanajamii
   
 4. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Wa Kilema wote warudi Kilema. Na ikulu ipo Dar, sijui utatawalia wapi !!!
   
 5. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Upupu huu, ngoja niamie thread nyingine.
   
 6. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 701
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mbona hujasema na wamasai wote Zenji warudi nyumbani?...hii maada ni ya kibaguzi, na ukiwa wewe rais kwanza Tanzania itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe....na ukiwa unatembea na magari 3, utakosewa kuuliwa kama alivyokosewa babu yako Nyerere!!!
   
 7. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #7
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mkuu kati ya sera zako ulizozitaja nyingi hazitekelezeki....Hivyo hutapata kura hata asilimia moja.Inayotekelezeka ni moja tu....ya baraza dogo la mawaziri
   
 8. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Inafanana fanana na kitu ya wapigakura tatizo hizo nilizoziwekea red zitakukata kwa rejea ya DHAMBI YA UBAGUZI na kutozingatia sheria.
   
 9. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Ndiyo maana likaitwa jukwaa la siasa
   
 10. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  All you have listed is easier said than done. The problem is that people think once you are president you have the power to do anything. You must deal with the status quo and be ready to compromise. You must deal with the fact that funds are not readily available for many of the programs you want to initiate. You must also deal with the fact that your gains will come at somebody else's expense. So there will be factors within and without trying to stop you at every corner. With the way you represent yourself I doubt you will be able to play the political game. Your policies are wishful thinking at best.
   
 11. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huna sera ndugu...tafuta washauri wakuandalie sera upya...very low thinking
   
 12. M

  Makoko in UK Member

  #12
  Dec 5, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanafalsafa,
  Umenena ipasavyo, naongezea tu kuna msemowa kiswahili usemao "MDOMO HAUJENGI NYUMBA"
   
Loading...