Nafuta mganga wakunisaidia mbeya

Nafuta mganga wakunisaidia mbeya

Prince Philip

New Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Hello wana jf habarini ya majukumu.... Samahan jaman mim nina matatzo ambayo nimeende hospital imeshindikana pia nikajaribu kwenda kwa wachungaji pia ndo inazidi.... Sasa naomba mnisaidie kwa anaejua mganga wa tiba mbalimbali, ambae yupo mkoan mbeya au mikoa ya karibu na mbeya tafadhal naomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo humu kibao.. We sema tatizo watakuja pm

Sent from my SM-A605G using Tapatalk
 
Kuna mtaalam yupo Mbarali, haagui ila unajisema tatizo lako na anatibu tatizo tu kwa kutumia mitishamba. Ungesema tatizo lako ningemuuliza kama analiweza, ila kwakua hujasema basi ugua pole.

Barafu la moto
 
... Umeenda kwa Wachungaji ila umeshindwa, unajua ni kwanini? sababu umeweka imani kwa Mwanadamu na si kwa Mungu.
... Weka imani kwa Mungu kwanza kabla ya yote ila pia jifunze kuwa na uvumilivu, uvumilivu ni kitu cha muhimu saana uendapo mbele za Mungu.
 
Back
Top Bottom