Nafuta king'ora kinachotumika kwenye uzinduzi

Nafuta king'ora kinachotumika kwenye uzinduzi

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,945
Reaction score
1,801
Naomba msaada kwa
anayefahamu ile pressing button anayobonyeza Mgeni Rasmi kuashiria
Uzinduzi wa kitu flani na kutoa sauti ya king'ora ni wapi zinapatikana
hapa Tanzania.

Asante!
 
Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa wa hiki kifaa.
 
Back
Top Bottom