Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,333
- 34,403
Hata na wewe umekosea, ule sio moshi wa baridi yale ni mafuta rubani anayamwaga kupunguza uzito wa ndege hasa ikiwa inajiandaa kutua!!Hakuna utaalamu kwenye hizo ndege ety kufanya zitoe moshi, ule moshi unatokana na hali ya baridi huko juu inapochanganyikana na joto la kutoka kwenye injini za ndege. Mfano, kipindi cha baridi ukitoa pumzi kwa njia ya mdomo kuna moshi unatoka.
Nakumbuka, miaka ya nyuma kuna jitu zima alinipiga kofi baada ya kutofautiana nae kwenye hizo ishu, jamaa alikuwa anasema ile ni rocket afu mm nikamkatalia nikamuambia ile ni ndege ya kawaida.
Cc barafu