nafungua "facebook" nakutana na picha za ngono

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,062
2,288
Ndugu zangu kwa muda hivi nimekuwa nikifungua ukurasa wangu wa facebook unafunguka lakini wakati huohuo unafunikwa na picha za ngono. leo nimefungua ukurasa wangu, ulipofunguka nikwa redirected kwenye website ya picha za utupu na ngono. Je, wenzangu mnaipata hali hiyo. Je, nifanyeje kulitatua tatizo hilo?
 
Wapo jamaa washenz wenye tabia hizo huyo ni mtu either ulishare au kulike page yake (akapata ruhusa ya facebook ku access information zako) then anatumia mwanya huo kupost kwenye wall yako.

Mfano ukishare aljazeera ina maana aljazeera watapost habari kwenye wall yako vilevile ukishare ngono (japo mwenyewe ulikua hujui) nao watapost ngono kwenye wall yako
 
Hiyo kitu nimesha sikia pia kwa Wanabidii kuna mtu naye alipatwa na hilo, sasa sijui ni security ndogo ya facebook au ni nini. Walishauri umuondoe huyo mtu mwenye hiyo link kwenye friend list na picha zitaondoka. Lakini wataalamu zaidi watatoa njia sahihi na sababu zake.
 
una virus kwenye pc yako nadhani. Hakikisha anti virus yako iko up to date na update browser to latest version.
 
Huwa iko hivi..mara nyingi unapofungua fb na kuona vile aidha kwa profile ya mtu au ameipost na itakua ni kihere here chako cha kutaka kuicheki tu hiyo video..na ukijiroga kuifungua itakupa option ya kushare ili uione..ukijiroga tu kushare imekula kwako..na wala usisingizie fb ni ww mwenyewe..!!
 
Wapo jamaa washenz wenye tabia hizo huyo ni mtu either ulishare au kulike page yake (akapata ruhusa ya facebook ku access information zako) then anatumia mwanya huo kupost kwenye wall yako.

Mfano ukishare aljazeera ina maana aljazeera watapost habari kwenye wall yako vilevile ukishare ngono (japo mwenyewe ulikua hujui) nao watapost ngono kwenye wall yako

Yawezekana, ila sikumbuki.
 
Cheki Options za Browser unayotumia then nenda addons hapo check kwenye plugins au extensions disable ambazo unahisi huzijui (mf. unaweza kuta imeandikwa you tube .....)
 
Back
Top Bottom