Nafundisha Marubani kienyeji

Nafundisha Marubani kienyeji

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,685
Reaction score
14,069
Natoa mafunzo ya urubani kienyeji kwa yeyote anayehitaji gharama ni nafuu na lugha ni kiswahili

Karibuni
 
hahaaa na me nataka mkuu., tupe ratiba na maelekezo mkuu.
mafunzo ya ardhini kila jioni kuanzia saa 11
mafunzo ya anga,baada ya kuelewa hatua 12 muhimu tunapanga tu baada ya kuleta mchango wako wa mafuta,ukilipia mafuta mengi tunajifunza vitu vingi zaidi
 
Ndege zenyewe ni hizi?:

IMG_5020.JPG
 
kama ukichangia mafuta mie utanifikiria japo daku

Nikiwa na muda nitakutafuta Mkuu. Nataka nijifunze kwa kujifurahisha tu, sina mpango wa kuwa rubani kwa namna yoyote ile, hivyo 2hrs kwa wiki inatosha sana.
 
Nikiwa na muda nitakutafuta Mkuu. Nataka nijifunze kwa kujifurahisha tu, sina mpango wa kuwa rubani kwa namna yoyote ile, hivyo 2hrs kwa wiki inatosha sana.
Karibu sana mkuu
Hizo control column tutaziita =stelingi
Hicho kibwana chekundu ni master=sie tutakiita ''mkuu''

 

Attachments

  • cesna.jpg
    cesna.jpg
    9.3 KB · Views: 771
Back
Top Bottom