Masomo online pia yanawezekanaUnafundishia wapi ! Online?
Sipo Dar mkuuWanafunzi wanaoishi karibu na Mimi Kinyerezi wanakuja nyumbani kwangu,maana kuna conducive environment
Kwa hiyo una platform ya kuweka hizo video zako.Masomo online pia yanawezekana
wanafunzi wanakuja "ghetto" kwako....mmmhh ngastuka.Wanafunzi wanaoishi karibu na Mimi Kinyerezi wanakuja nyumbani kwangu,maana kuna conducive environment
No gentlemen,don't say that,tuna status tofauti. I am well established in Dar es salam. I have place to call home with very nice house,that s why wanafunzi wangu wanakuja home....gheto siijuiwanafunzi wanakuja "ghetto" kwako....mmmhh ngastuka.
Online I can give you lessonsSipo Dar mkuu
Unasema lessons kwa whattsapp?Umenipata ila kwa whatsapp