Tunauza Scientific Calculators Original za fx-991 ES PLUS pamoja fx-991 MS
Bei ya fx-991 ES PLUS ni 65,000/- na fx-991 MS ni 60,000/-
Tupo Zanzibar, tunaweza tuma Dar na hata mikoani ila gharama za utumaji zitakuwa juu ya mnunuzi.
Nasisitiza kuwa ni Original na sio zile fake zilizojaa Kariakoo na maeneo mengine hapo Dar.
Kwa atakae hitaji aje PM, na kwa wanohitaji kwa jumla punguzo litapatikanwa kidogo.