Nafsi yangu moja imefungwa


Pole sana
Hizo ni roho za uharibifu zilizo na maagano na maisha yako ya mwili, nafsi na roho zinakusumbua. Unaweza kuhangaika sana na hizo roho za bila mafanikio sababu tiba yake ni kukutana na roho wa Mungu, roho apitaye roho zote
Mwombe Mungu sana akufanyie wepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…