Mkondo wa Nungwi
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 332
- 389
niko kwenye ibada na nikaambiwa nisali usiku siku 40Pole mkuu.. cha Msingi Shikilia Ibada kwa Usahihi
Wewe ni Dini gani tuanzie hapaniko kwenye ibada na nikaambiwa nisali usiku siku 40
MuislamuWewe ni Dini gani
Safi.Muislamu
Mkuu,sijui nikuulize kama ukoo/familia kuna mtu mwenye magonjwa ya akili???sijuikwa nini nalazimika kuamini una mental health problem(schizophrenia),huu ugonjwa unakua unasikia na kuona vitu ambavyo havipo...watu wanapewa dawa na sauti zinaisha,,,,,,,,,,,,,,,,,,
mimi naomba kama kuna Psychologist ama behaviour therapist humu amsaidie ndugu yetu huyu, he is feeling guilty kaenda kwa waganga ni jambo analo feel guilty..lina play na kumla taratibu in his sub -conscious mind,sitashangaa kama anakunywa heavily to escape/distract himself
Hatuna historia ya ugonjwa wa akili na nilipofika mental niliulizwa unasikia sauti lakin majibu yangu nikajibu hapana. Kwakua nilipelekwa niko kwenye utilivu kidogo nikachomwa shindano inaonekana inapoteza kumbukumbu masaa24. Nilitumia dawa zao mara moja tu ubongo nilihisi unataka kutoka na nikatoa mate kwa sana. Mental nililazwa wiki mbili nilikua nikichanganyikiwa najitambua kabisa lakin nafanya mambo bila ya kuweza kujizuia. Niliwakuta wagonjwa wengine wengi lakini nimegundua pia kumbe wengi sio kama wanamatizo ya akili ni mitihani ambayo iko nje ya uwezo wao. Wale wagonjwa wote wanajitambua kabisa wanaoga wengine mgonjwa wa akili hutaweza kuoga wala kula wala kuvuuka barabara wala kuomba pesa. Akili ni ugonjwa mbaya sana ukikufika mental hakuna mgonjwa wa akili kwa niliwakuta mimi vijana kama 20.
Kwa comment za walio wengi naungana na wewe tuHizi mambo ishia kusoma kama hadithi, omba Mungu yasikufike kwa maana ni mazito sana.
Pole sana mdau.