Mkuu tuunganishe nguvu katika hilo. nina uziefu kubwa katika uchunguzi... if interested tuongee inboxHabari za mchana wana bodi.
Kwa jinsi mambo yalivyo magumu huku mtaani hasa biashara nimefikilia nimeona nitumie mtaji wangu wote kufungua Ofice kubwa ya upelelezi yaani niwe na leseni ya Mpelelezi binafsi.
Sasa sijajua kama sheria ya nchi hii itaniruhusu kwa anaejua tafadhari anisaidie hapo kwani najua kupitia wazo langu nitaajiri vijana wengi.
Ni ngumu kufungua kampuni inayojihusisha na mambo ya upelelezi ikawa na mafanikio kama wewe huna taaluma hiyo. Mambo ya upelelezi ni very technical na yana ethics zake sio kama kufungua duka la dawa. Na hata Serikali haitakuruhusu kama wewe hujasomea tena kwenye vyuo vya serikali, hii ni kwasababu mambo utakayoyapeleleza yanaweza kuingilia usalama wa taifa. Mfano Serikali inaweza kufanya assasination au kidnaping kwa mtu yeyote anayehatarisha usalama wa nchi , sasa ndugu wa huyo mtu wakija kwako wakakupa kazi ya kupeleleza then ukajua ukweli na uka u disclose hapo utakuwa unahatarisha usalama wa nachi na unaharibu mission za wenye wajibu wa kuhakikisha nchi inakuwa salama. Zipo sheria ngumu sana kwa private investigators hata katika nchi zilizoendelea kama US. Na pia lazima uangalie sheria za nchi kama zinaruhusu uchunguzi uliofanywa na taasisi binafsi kutumika mahakaman or else where? Kama hawaruhusu that means huwez kupata wateja. Na pia serikali inakuamin kiasi gan ili iruhusu idara zake kutumia ushahidi wako? Anyway ukifanikiwa naomba ajira!!!!.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tanzania hatujaendeleaMkuu sio lengo langu kufa masikini ndio maana nimeona fursa hiyo.
Nchi zilizoendelea ipo hiyo
Habari za mchana wana bodi.
Kwa jinsi mambo yalivyo magumu huku mtaani hasa biashara nimefikilia nimeona nitumie mtaji wangu wote kufungua Ofice kubwa ya upelelezi yaani niwe na leseni ya Mpelelezi binafsi.
Sasa sijajua kama sheria ya nchi hii itaniruhusu kwa anaejua tafadhari anisaidie hapo kwani najua kupitia wazo langu nitaajiri vijana wengi.
hakuna sheria inaruhusu mkuu kwa hilo tusibishane! investigation zote kwa sheria za tz hazifanywi na private institution.. leo hii tukio likitokea mfano la maauwaji au kitu kingine au wizi wanaofanya upelelezi ni polisi na taasisi nyingine za serikali.