kila mtu analinda kile alichonacho shiling ikishaingia kutoka ni mtiti balaaLaki 5 nyingi hivyo? Kuna wakati hata kupata 5000 unakwama
Huo sasa wehukila mtu analinda kile alichonacho shiling ikishaingia kutoka ni mtiti balaa
Hivi unajua kuna watu wako radhi kulala au kushinda njaa ilimradi tu wasitumie hela zao yan wazione tu ndio raha yao😆
Hapo umenena. Ni mwendo wa kuwalimisha kwenye mashamba ya mkonge tu kama misukule.Utabadilisha mpaka lini wakati watu ndio sisi? Jitahidi usimlaumu mtu kwenye maisha yako bali kaa style ya kujifunza kila mara.
Hasira zako na maamuzi yako huenda vikakuchelewesha zaidi... Haohao unaotaka kuwaondoa kwenye maisha yako jitahidi uwatumie kwa namna nyingine hata kama ni kuwatoa kafara ili wewe ufanikiwe 😄😄
Angalia maslahi tu maana unaemwonea huruma leo kesho anakumalizaHapo umenena. Ni mwendo wa kuwalimisha kwenye mashamba ya mkonge tu kama misukule.
Inashangaza sana ila inaleta mantikiHuo sasa wehu
Mimi hapana kwakweli sasa unashinda na njaa alafu ukija kuumwa madonda ya tumbo unaingia tena gharama kujitibu huo ni uzwazwa..kila mtu analinda kile alichonacho shiling ikishaingia kutoka ni mtiti balaa
Hivi unajua kuna watu wako radhi kulala au kushinda njaa ilimradi tu wasitumie hela zao yan wazione tu ndio raha yao😆
Tunatafuta ili tuleInashangaza sana ila inaleta mantiki