Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 734
- 1,218
Taaruma ❌Dunia ya sasa inataka zaidi ujuzi kuliko taaruma nahisi.
Bora ujumbe umefika😂😂🤣Taaruma ❌
Taaluma ✔️
AhsanteTaaruma ❌
Taaluma ✔️
😁😁, R na L ni changamoto kwa Sasa ndani ya jamiiBora ujumbe umefika😂😂🤣
🙏🙏🙏🙏Ahsante
Uzembe tu wa kufik8ria what about china and india population na kila siku wanasomaPopulation nayo inachangia
usisome kufuata mkumbo, mtoto wa fulan kasoma ualimu kapata ajira , nenda na ww mwanang ukasome utapata ajira , sijui huwa mnahisi hapa kati mpo chuo hakuna watu wanamaliza kweny hzo kozi ?Nna miaka 30 kuna mtu pia ana miaka 33.
WOte wamemaliza degree 2017/19 hawa watu wanapiga mishe za hapa na pale mitaani (vibarua) wakisubiri ajira za ualimu waajiriwe.
Kuna jamaangu mmoja leo kaamka kapita kunisalimia agongee chai
akaanza hoja, Dah maisha sijui nliyakosea wapi. Yani mishe haziendi kabisa hadi kupata elf2 ndani ya saa24 ni mtiti.
Namsikiliza tu. Kaongea mengi kweli ila kwa ujumla akasema amepoteza jumla ya miaka 2 ya form 5&6
Miaka 3 degree
Miaka 8 kupiga vibarua vya laki 1 na laki 2 za kufundisha na kujitolea mashule 12 aliyofanya kazi
Jamaa ana familia leo kaja kunywa chai geton kwangu sijui home kwake mke na watoto wamekula nn asbh. Mwingine mlokole namjua ila mpk leo ana siku ya 16 anafunga kubana bajet ale usiku tu alale
Nafikiri shule sikuhizi haina umuhimu. Mladi tujue kusoma na kuandika kisha twende veta kusomea ufundi turudi mtaani kujiajili ila haya ya form 1-4, 5&6, degree labda hizi zinafaa marekani na dubai sisi tanzania technical skills ndio zinatufaa
Kufuga kuku. mbuzi. Ngombe na kulima ni.kazi.ngunu.kiasi cha.kwamba watu wazima wanatekekeza.familia?.TZ.tu.wajinga sana nendeni usukumani vijinini mkajifunze maisha bila kuajiriwaHapo nyumbani ana mke na mtoto na alikua na hela ya kununua mandazi mawili tu ikabidi aiambie familia kuwa mi sinywi chai kadanganya ameshiba ili familia igonge chai alafu ye kaja kugongea kwako, alafu bado uzeeni mtoto akikua anasema nani kama mama anamjengea nyumba mama yake we mzee anakutelekeza anasema ulikua hauna muda na familia.
Bora ungeishia la saba B, what is biology inakusaidia nini?Nna miaka 30 kuna mtu pia ana miaka 33.
WOte wamemaliza degree 2017/19 hawa watu wanapiga mishe za hapa na pale mitaani (vibarua) wakisubiri ajira za ualimu waajiriwe.
Kuna jamaangu mmoja leo kaamka kapita kunisalimia agongee chai
akaanza hoja, Dah maisha sijui nliyakosea wapi. Yani mishe haziendi kabisa hadi kupata elf2 ndani ya saa24 ni mtiti.
Namsikiliza tu. Kaongea mengi kweli ila kwa ujumla akasema amepoteza jumla ya miaka 2 ya form 5&6
Miaka 3 degree
Miaka 8 kupiga vibarua vya laki 1 na laki 2 za kufundisha na kujitolea mashule 12 aliyofanya kazi
Jamaa ana familia leo kaja kunywa chai geton kwangu sijui home kwake mke na watoto wamekula nn asbh. Mwingine mlokole namjua ila mpk leo ana siku ya 16 anafunga kubana bajet ale usiku tu alale
Nafikiri shule sikuhizi haina umuhimu. Mladi tujue kusoma na kuandika kisha twende veta kusomea ufundi turudi mtaani kujiajili ila haya ya form 1-4, 5&6, degree labda hizi zinafaa marekani na dubai sisi tanzania technical skills ndio zinatufaa
Tatizo sio marekani na dubai shida ni Elimu yetu haimwandai mtu kujiajiliMarekani na Dubai hawana tatizo la ajira? Labda!
ttz watz wengi mmerundikana kwenye common courses , mwishowe mwajiri haez waajili watu wote kwenye nafasi mojaTulikosea kumchagua Jiwe, asha haribu mfumo mzima wa ajira , ki ujumla chama tawala kishachoka tunahitaji ushindani katika siasa