KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,515
- 88,986
Mkuu tunajua tunachokijua na tusichokijua hatukijui!.
hao watoto ili wasing'amue chochote itabidi uwapeleke wakiwa watoto sana.. wasiweke kumbukumbu.. hili linatosha watoto hao kutosurvive!,hawataweza kulima ili kula,kujihudumia hudama mbalimbali.. kujikinga na hatari yoyote hivyo they gonna die!.