Nafikiri binadamu alitoka hapa...!

Nafikiri binadamu alitoka hapa...!

Kwasababu hatujui maisha baada ya kifo inakuwaje nahisi wafu ndio wanaludi kwenye hizo sayari kuendelea na maisha mengine ni kama style ya wadudu kubadilika
Kwan wadudu huwa wanabadilika?
 
Mkuu umefikiri sawa, ila fikira zako zimekaa katika hali ya kujipendelea sisi binadamu kwa vile tuna uwezo wa kufikiri tofauti na wanyama wenzetu kama ng'ombe, mbuzi nk.
Tujiulize, kama sisi tutakuwa tumeletwa toka sayari nyingine, je hawa wanyama wengine pamoja na viumbe wote ikiwemo mimea ambavyo tunashirikiana uhai, navyo vitakuwa vimeletwa pia?

Ninajua wote tuna imani zetu, ila tukiziweka kando na kuruhusu akili kufikiri tofauti unaweza kuyaona maisha katika "Angle" nyingine na ukajifunza kitu.
Dunia tunayoishi ina umri wa miaka mingi, katika umri huo kuna aina tofauti ya viumbe walioishi hapa(mf.Mijusi wakubwa-Dinosaurs) na kutoweka kabisa kutokana na mabadiliko ya hali katika dunia yenyewe.
Kwa mantiki hiyo, kuishi au kuwepo kwa kiumbe yoyote hapa duniani inategemea na hali ya dunia ukilinganisha na uhitaji wa kiumbe husika. (Mfano. Kama kiumbe kinahitaji baridi dunia ikawa ya joto basi, kiumbe ni lazima kitoweke).
Kwa maana uwepo wetu kwa wakati huu katika hii dunia, unatokana na hali na mazingira ya dunia kwa kipindi hiki yameruhusu.(Mahitaji yetu kama viumbe wa aina tuliyopo yanaendana na hali ya dunia ilivyo kwa sasa).
Najitahidi kuelewa concept yako mkuu, umeandika vizuri. Unaweza kuendelea kuelezea zaidi?
 
inawezekana ikawa hivyo lkn bado haijawa proved!
kuna story nilishawahi kuisoma humu(lkn sikumbuki iko wapi sasa) kwamba binadamu na viumbe vyengine tulipandikizwa mean uhai ulipandikizwa hapa duniani kutoka kwa viumbe wa sayari za mbali!
lkn kama tulipandikizwa kwanini hao waliotupandikiza hatujapata kuwaona au kwanini hawaji kutucheck tunaendeleaje..? ama ndo kusema wao wana high technology so wanatucheck huko huko! but duh! my self i don't know.
mkuu kuhusu sayari zimeshagundulika sayari nyingi kama ni mfatiliaji wa habari bbc mwaka huu walitangaza sayari takriban buku na kitu zimegundulika from another stars! na kuna nyengine hii imegundulika nadhani miezi michache iliyopita wanasema inataka kufanana na earth kimazingira lkn iko far away but wapo kwenye harakati za kupeleka chombo lkn kufika 😱😱 kitachukua uwepo wa kutosha!
pamoja na hayo yote sayari hizi hatuna prove ya uhakika kuwa kuna uhai isipokuwa makadilio tu!
CD empty can't play what do you think about earth and mars..?
Asante chief kwa maelezo yako. Though naungana na wewe kwamba kuna mengi sana ambayo inawezekana hatuyajui.
 
Hili wazo kama umeanza nalo ww basi unahitaji kusubmit certificates zako kwa gwajima
 
Kwamba tulitengenezwa kwingine halafu tukaletwa hapa, basi HUYO aliyetutengeneza, akajua kuwa tutamudu kuishi katika sayari hii ni wa kuheshimiwa! Na au tuseme pia kuwa aliitengeneza na dunia huko kwingine akaiweka katika njia yake halafu akatutengeneza na kutuleta au?! Hahahaaaa, kuna mambo ambayo sayansi haitakaa ijibu.
 
Wewe waizungumzia solar system ambayo si ulimwengu

Solar system na ulimwengu ni vitu viwili tofauti

Ulimwengu una mabilion na matrilions ya sayari,
Zikiwemo sayari za solar system
 
kama kuna binadamu sayari nyingine kwanini yesu alikuja sayari moja tu dunia kwanini hakuna andiko alikwenda na sayari zingine kuhubiri
 
Allah ndio mungu gani

allah ndio mungu wa ukweli hakuzaliwa wala hakuzaa vyoote vilivyomo mbinguni na duniani na baharini kaviumba yeye huyo ni allah na ndie aliyekuumba wewe akakupa pumzi na mdomo ukaweza kuuliza allah ndio nani
 
Mpaka sasa NASA wamegundua kuna solar system nyingine jirani na hii tuliopo ina sayari saba n tatu zinafanana na dunia
84a3fcdd310648f8ded5f169b30b4458.jpg
df32c03f9ca45dfd9a854726bd0889e9.jpg
82c2e547408ebe5abcb25c6c108f1583.jpg
d29c78607ee6723d7319f83a7879ac68.jpg
d01347685341730385b4ef43bad68582.jpg
bbf2110312be0b586d596b42519d15f2.jpg
 
Nikiangaliaga picha za NASA nacheka sana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ivi mtu unakubali vipi izo picha?!
 
kama kuna binadamu sayari nyingine kwanini yesu alikuja sayari moja tu dunia kwanini hakuna andiko alikwenda na sayari zingine kuhubiri
Nani amekwambia hayo mkuu, Kwamba Yesu alikuja sayari moja tu? Vipi kama ulidanganywa.
 
Mpaka sasa NASA wamegundua kuna solar system nyingine jirani na hii tuliopo ina sayari saba n tatu zinafanana na dunia
84a3fcdd310648f8ded5f169b30b4458.jpg
df32c03f9ca45dfd9a854726bd0889e9.jpg
82c2e547408ebe5abcb25c6c108f1583.jpg
d29c78607ee6723d7319f83a7879ac68.jpg
d01347685341730385b4ef43bad68582.jpg
bbf2110312be0b586d596b42519d15f2.jpg
Dooooh, kwaiyo tunarudi pale pale kwamba yawezekana kabisa kuna mengi ambayo hatuyajui.
 
allah ndio mungu wa ukweli hakuzaliwa wala hakuzaa vyoote vilivyomo mbinguni na duniani na baharini kaviumba yeye huyo ni allah na ndie aliyekuumba wewe akakupa pumzi na mdomo ukaweza kuuliza allah ndio nani
Nani mekwambia hayo, Vipi kama alikudanganya? Au ndo umeambiwa uamini.
 
Back
Top Bottom