Nafikiri binadamu alitoka hapa...!

Nafikiri binadamu alitoka hapa...!

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Salaam!
Kabla sijaeleza dhana nzima ya andiko langu naomba kutoa mfano huu,

Tunatambua kwamba kuna sayari 9 ulimwenguni dunia ikiwa mojawapo (ingawa haijulikani kama ndizo sayari pekee zilizopo).

Chukulia leo hii tukachukua watoto kama 20 wa kike na wa kiume, tukawapandisha kwenye ndege tukawapeleka katika sayari mojawapo huko juu ambapo kuna uwezekano wa kuishi, tukawaacha huko tukarudi duniani. Baada ya miaka 20 watoto wale hawatajua walikotokea, watazaliana na kizazi kipya kitaanza huko na maisha yataendelea pasipo kujua kwamba kuna sehemu inaitwa dunia na kwamba ndiko walikotoka.

Je, tunaaminije kwamba na sisi hatuko kama mfano niliotoa hapo juu?

What if, katika sayari flani tusiyoijua kuna binadamu kama sisi wanaishi na huko ndo kuna chanzo hasaa cha binadamu.

What if babu zetu wa kwanza walishushwa tu wakatelekezwa huku duniani basi nao wakaanza kuzaliana na wakakua nao wakazaa na ikawa ndio dunia hii ambayo hatujui hata tulitokea wapi.

Watu wanaongelea issues za alliens na UFOs tunawaona wapuuzi, what if kuna kitu hatukijui? What if kuna zaidi ya sayari 9 tuzijuazo? And what if katika sayari flani ndiko binadamu hasa alitengenezwa na wakaanza kuzaliana?

Ninafikiria kwa sauti tu.
 
Inawezekana ikawa hivyo lkn bado haijawa proved!

Kuna story nilishawahi kuisoma humu(lkn sikumbuki iko wapi sasa) kwamba binadamu na viumbe vyengine tulipandikizwa mean uhai ulipandikizwa hapa duniani kutoka kwa viumbe wa sayari za mbali!

Lkn kama tulipandikizwa kwanini hao waliotupandikiza hatujapata kuwaona au kwanini hawaji kutucheck tunaendeleaje..? ama ndo kusema wao wana high technology so wanatucheck huko huko! but duh! my self i don't know.

Mkuu kuhusu sayari zimeshagundulika sayari nyingi kama ni mfatiliaji wa habari bbc mwaka huu walitangaza sayari takriban buku na kitu zimegundulika from another stars! na kuna nyengine hii imegundulika nadhani miezi michache iliyopita wanasema inataka kufanana na earth kimazingira lkn iko far away but wapo kwenye harakati za kupeleka chombo lkn kufika 😱😱 kitachukua uwepo wa kutosha!

Pamoja na hayo yote sayari hizi hatuna prove ya uhakika kuwa kuna uhai isipokuwa makadilio tu!
CD empty can't play what do you think about earth and mars..?
 
Kuna move moja nimeangalia inaitwa the 100.
(The hundred)
Inafanana sana na hichi unachotaka kutuaminisha mkuu.
 
What if

What if

Jaribu kutetea hoja kisomi zaidi,maneno tena ya kumfikirisha msomaji hayatakiwi, leta views zako kusha zitetee na siyo mambo ya "what if"
 
inawezekana ikawa hivyo lkn bado haijawa proved!
kuna story nilishawahi kuisoma humu(lkn sikumbuki iko wapi sasa) kwamba binadamu na viumbe vyengine tulipandikizwa mean uhai ulipandikizwa hapa duniani kutoka kwa viumbe wa sayari za mbali!
lkn kama tulipandikizwa kwanini hao waliotupandikiza hatujapata kuwaona au kwanini hawaji kutucheck tunaendeleaje..? ama ndo kusema wao wana high technology so wanatucheck huko huko! but duh! my self i don't know.
mkuu kuhusu sayari zimeshagundulika sayari nyingi kama ni mfatiliaji wa habari bbc mwaka huu walitangaza sayari takriban buku na kitu zimegundulika from another stars! na kuna nyengine hii imegundulika nadhani miezi michache iliyopita wanasema inataka kufanana na earth kimazingira lkn iko far away but wapo kwenye harakati za kupeleka chombo lkn kufika 😱😱 kitachukua uwepo wa kutosha!
pamoja na hayo yote sayari hizi hatuna prove ya uhakika kuwa kuna uhai isipokuwa makadilio tu!
CD empty can't play what do you think about earth and mars..?
UVUMBUZI na UGUNDUZI unaendelea na UKWELI utajulikana.Ila ni hakika MUNGU YUPO na tumeumbwa nae.
 
Na ukiulizwa huyo Jehova katengenezwa na nani utasemaje mkuu..???!....hili jukwaa haliwafai walokole kama wewe mkuu.
mkuu huu mchezo hauitaji hasira.
Mungu hana mwanzo Wala hana mwisho. Kabla ya misingi ya ulimwengu kuwepo yey alikuwepo. Yey ni mwwnye haki ametupa pumzi ya uhai mimi na ww. Tena Bila malipo
 
Kuna move moja nimeangalia inaitwa the 100.
(The hundred)
Inafanana sana na hichi unachotaka kutuaminisha mkuu.
Naipenda hii movie,,Huyu jamaa ajiulize pia dunia ina Oxygen 21% na Nitrogen 79% ndio sababu hao scientists kila sayari wanababaisha Kuna maji ili waaminishe Kuna oxygen(maji =H202) maana maji yana oxygen Lakini hizo sayari nyingine utakuta hewa ni helium tupu au nitrogen tupu ambamo binadamu hawezi kuishi.Hakuna mmea wowote unaoota,,mwisho wa siku unaelewa maisha yako duniani tu kwa viumbe hai.
 
Mkuu ndo maana nakwambia huo ndio mwisho wa uwepo wako wa kufikiria. Nani aliyekwambia kwamba kun sayari 9 tu ulimwenguni?

Unajua hivyo kwa sababu wanasayansi wetu wameishia hapo. Lakini what if kuna zaidi ya hayo tunayoyajua?
 
Salaam!
Kabla sijaeleza dhana nzima ya andiko langu naomba kutoa mfano huu,

Tunatambua kwamba kuna sayari 9 ulimwenguni dunia ikiwa mojawapo (ingawa haijulikani kama ndizo sayari pekee zilizopo).

Chukulia leo hii tukachukua watoto kama 20 wa kike na wa kiume, tukawapandisha kwenye ndege tukawapeleka katika sayari mojawapo huko juu ambapo kuna uwezekano wa kuishi, tukawaacha huko tukarudi duniani. Baada ya miaka 20 watoto wale hawatajua walikotokea, watazaliana na kizazi kipya kitaanza huko na maisha yataendelea pasipo kujua kwamba kuna sehemu inaitwa dunia na kwamba ndiko walikotoka.

Je, tunaaminije kwamba na sisi hatuko kama mfano niliotoa hapo juu?

What if, katika sayari flani tusiyoijua kuna binadamu kama sisi wanaishi na huko ndo kuna chanzo hasaa cha binadamu.

What if babu zetu wa kwanza walishushwa tu wakatelekezwa huku duniani basi nao wakaanza kuzaliana na wakakua nao wakazaa na ikawa ndio dunia hii ambayo hatujui hata tulitokea wapi.

Watu wanaongelea issues za alliens na UFOs tunawaona wapuuzi, what if kuna kitu hatukijui? What if kuna zaidi ya sayari 9 tuzijuazo? And what if katika sayari flani ndiko binadamu hasa alitengenezwa na wakaanza kuzaliana?

Ninafikiria kwa sauti tu.
Yaweza kua ndivyo lakini mimi waniache hapa hapa DUNIANI,kuna raha sana hapa
 
Mkuu ndo maana nakwambia huo ndio mwisho wa uwepo wako wa kufikiria. Nani aliyekwambia kwamba kun sayari 9 tu ulimwenguni?

Unajua hivyo kwa sababu wanasayansi wetu wameishia hapo. Lakini what if kuna zaidi ya hayo tunayoyajua?
Umeleta mda muzuri na ukatuaminisha kwamba wewe ni mfikiriaji huru,sasa umeanza kutuaminisha tofauti.

Uwezo wa mtu kufikiroa unaongezeka siku hadi siku na kizazi hadi kizazi,hilo nalo kweli ni fumbo!%-%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom