nafichaje IP adres yangu?

nafichaje IP adres yangu?

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
464
naombeni msaada. Maana nimeambiwa all my dirt kwa internet yanajulikana coz natumia simu.
 
Kuhusu simu, unaweza kutumia kitambulisho feki, kinasomeka juma na sura ya juma wa photoshop anayefanana na wewe kidogo na hivyo unapata namba feki.

Sema tu za mwizi ni 40.

Achana na dirty staff utakuwa ok, cm yako ipo registered na service provider hata ubadirishe ip address bado wanajua.
 
Kuhusu simu, unaweza kutumia kitambulisho feki, kinasomeka juma na sura ya juma wa photoshop anayefanana na wewe kidogo na hivyo unapata namba feki.

Sema tu za mwizi ni 40.
Ndo uzuri wa bongo kila kitu feki!
 
Je na mimi nawezaje kuzuia hizi web za matangazo, mfano your computer performance is low, kujua who is spying me.
SP
 
Back
Top Bottom