The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Mbona mnanihukumu bila kosa
Subiri ukabidhiwe ndo ushuhudie Jane,hongera kwa figa ya kupagawawisha uliyoona uitumie kupata mali....kila la kheri,usiuze utu wako!
Huyu vituko vyake kama G Mpoleeee
We cholo acha kusumbua watu nenda kacheze na wenzako kombolela.
Hata uwe mzuri namna gani, kidume kitakachotoa nyumba na v8 kwa ajili ya nyuchi moja kina akili sawa na kipepe/pimbi.kuna mtu kasema atanunua Nyumba na gari v8 na kajitokeza ndani ya jf nashukuru kaona figure yangu na kapagawa sana
kuna mtu kasema atanunua Nyumba na gari v8 na kajitokeza ndani ya jf nashukuru kaona figure yangu na kapagawa sana
wenzio wanaringia 'genotype' we unaringa na 'phenotype' ***** kweli wewe. Kama figa ni dili nenda jolly club ndo utajua, watu wanapenda nini. Halafu usikute umejaa 'ngorongoro crater' tupu hapo, mtu akizama na kutoka ma***u tupu!
Naishimu mawazo yakoHee, huyo alopagawa na figa yako nani? Mwee, maajabu hayataisha! We Jane acha kutuzuga, Jane kifua chake inchi 47, hips 22 (me fundi nilishamshonea nguo so najua vipimo vyake). Nisamehe Jane kwa hili ila huna figa ya kumdatisha mwanaume wewe!Lol!
Huyu jane ni nani?
Kinachojuwa kuwa wewe ni dada yake ni akili yake tuuu............. hakuna kiungo kingine chochote kinachojuwa hilo.....Mkuu mimi ni dada ako