Nafazi za kazi kwa Walimu masomo yote.

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,102
6,952
*THE VENEX INTERNATIONAL SCHOOLS*

Hii ni shule ya wajerumani ambayo wameianzisha tanzania katika mikoa 10 (DSM,,MOROGORO,,DODOMA,,MBEYA,,IRINGA,,SINGIDA,,MWANZA,,,,KAGERA,,GEITA KILIMANJARO NA ARUSHA,,,,inatangaza nafasi 135 za walimu wa masomo ya mathematics,physics, chemistry, biology, history, geography, English, civics,kiswahili, bookkeeping na commercial. Mshahara unaanzia laki saba na hamsini (750000).shule zipo kila mkoa iliyotajwa hapo juu. Unaweza kuomba mkoa wowote.shule zote zina accommodation. Mwisho wa maombi ni 30/06/2017.
maswali
1.andika kichwa cha habari hii.
2.shule hii ipo kwenye mikoa mingapi? Itaje.
3.mwisho wa maombi ni lini?
4.mshahara unaanzia bei gani?
5.fupisha habari hiyo kwa maneno yasiyozidi 20.
Marks: 25%
*nakumbuka hii ilitoka ktk mtihani wa mock form two*
 
Kwani lazima upate mia, komaa na maswali mengine yanayotembea usonge mbele.

Mambo mengine ni kiherehere tu.
 
Back
Top Bottom