Nafasi za ZCO na mambo yake. Wasiojulikana ni kina nani?

Nafasi za ZCO na mambo yake. Wasiojulikana ni kina nani?

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
313
Reaction score
2,649
Wakati wa Chuma, tukilalamikia vitendo vya utekaji na the so called “Task Force” kupoteza watu (Kina Ben Saanane etc), kesi za ajabu ajabu (kina Kabendera, Maxence, Eyakuze etc) Wambura alikuwa ZCO na sasa ni IGP.

Wakati huo, ndo ukaibuka msemo wa “Wasiojulikaka”.

Kama mtakumbuka, hadi kesi za boss wa JF, msaidizi wake Wambura alikuwa Kingai (sasa ni DCI) na alionekana mahakamani akitoa ushahidi dhidi ya Maxence Melo (kuna thread humu JF, hii hapa akihojiwa la Lissu Mei 2017 - Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar )

Na sasa? Mafwele ni ZCO… Guess what?

Kwa wale mlio Idara, angalieni mtu flani ambaye amepanda cheo hapo idarani ambaye kimsingi hakustahili ila hamuelewi kafikaje. Yeye ndo daraja la “wasiojulikana”. Kuwarahisishia - ana taaluma (ya kubumba) ya Sheria.

Story hii itaendelea na mtaielewa one day!
 
JamiiForums934640752.jpeg
 
Kwa wale mlio Idara, angalieni mtu flani ambaye amepanda cheo hapo idarani ambaye kimsingi hakustahili ila hamuelewi kafikaje. Yeye ndo daraja la “wasiojulikana”. Kuwarahisishia - ana taaluma (ya kubumba) ya Sheria.
Why is there such a lack of transparency in disclosing the identities of the perpetrators?
 
Kwa hiyo ZCO Mwafwele atapata promotion ya IGP .
police ni ya kufumua yote
 
Why is there such a lack of transparency in disclosing the identities of the perpetrators?
Kuna ulinzi wa taarifa za maafisa usalama. Hata Marekani kuna sheria. Ila kwa walio huko washajua nani anasemwa hapa na wanajua cha kufanya.

Hadi wanaona naandika hivyo, details zinawatosha sana na wanajua najua wana uwezo wa kufanya mabadiliko haraka kuepusha balaa kubwa zaidi mbele
 
Kwa hio huyo na Mwafwele nani mtekaji kiongozi?
 
Back
Top Bottom