Nafasi za TRA June

Nafasi za TRA June

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,930
Reaction score
1,175
wakuu habari za mida hii,

naomba kwa mwenye kumbukumbu vizuri, anikumbushe zile nafasi za kazi zilizotolewa nadhani mweni may au june, zilikuwa ni za positions gani?.

asanteni.
 
na kwa aliyetumiwa email na aniambie vitu vya kwenda navyo pia, au kama anaweza ni attachia hapa, itakuwa poa zaidi
 
bring with you the following
1.this invitation letter
2.identity card
3.original academic certificates
4.birth certificate
5.three(3) similar recently taken passport size photographs
6.a pen and calculator
 
asante mkuu, ingawa sijatumiwa email, so hiyo barua sina.
 
Back
Top Bottom