Nafasi za Masomo Vyuoni Kupitia Michezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za Masomo Vyuoni Kupitia Michezo

Discussion in 'Sports' started by TingTing, Sep 13, 2010.

 1. TingTing

  TingTing Member

  #1
  Sep 13, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanajamii;

  Iwapo kama kuna mtu anamjua mtu yeyote aliyemaliza form four na amefaulu, na huyo mtu ni mwanamichezo wa; mpira wa miguu, mpira mikono, mpira wa kikapu au riadha basi awasiliane na mie kupitia email; declanstz@gmail.com ili kujaribu kuwasaidia watu hawa waweze kupata nafasi za masomo kupitia michezo katika vyuo mbali mbali. Kuna vyuo vitatu ambavyo wako tayari kutoa scholarships kwa wanamichezo wazuri iwapo watakuja kufanya majaribio au watatuma video zao ili wafanyiwe tathmini kabla ya kuitwa majaribio na vyuo hivyo.

  tommie
   
Loading...