STALLEY
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 622
- 219
Kwa wahitimu wa kidato cha sita 2016 hongereni wote mliofaulu mitihani yenu kazeni buti kwani mapambano ndo yanaanza kwa wale ambao kwa bahati mbaya matokeo yao sio mazuri basi msikate tamaa kwani sio mwisho wa maisha.kwa wanaohitaji admission za china kwa kozi zote tuwasiliane.vyuo bora na bei nafuu