Nafasi za masomo katika chuo cha maji

mdogo wangu amesoma diploma ya IT katika Chuo cha Sinon Collge, je anaweza kujiungahapo chuoni? matokeo yake ya kidato cha nne ana four ya 28 ila masomo ya science amefaulu geography tu kwa alama D
 
maradhi=malazi
 
Kwa matokeo haya ni vema nisomee kozi gani hapo ambayo ni marketable!

Chemistry B

Engineering Science C

Basic Mathematics C

English C

Kiswahili C

Geography C

Surveying D

Architectural Draughting D

Building Construction D

Na mkopo vipi?
 
Vip mkopo wake mkuu apo
Tumeweka hapo juu document ya Application za mkopo. Utaisoma vizuri na kuijaza, kisha utaipitisha katika ofisi za serikali ya mtaa na mahakamani. Pia, utahitajika kuambatanisha viambatanisho vyote vya kusuport application yako ya mkopo.
 
Kwa matokeo haya ni vema nisomee kozi gani hapo ambayo ni marketable!

Chemistry B

Engineering Science C

Basic Mathematics C

English C

Kiswahili C

Geography C

Surveying D

Architectural Drawing D

Building Construction D

Na mkopo vipi?

Soma Water Supply and Sanitation Engineering kwakua una background nzuri ya Construction, A. Drawing and Eng. Science. Kwa ushauri zaidi tafadhali tunaomba uje Chuo cha Maji.
 
Ufahulu huu vipi kiongozi, kozi ya water laboratory kuanza certificate..?
Bios - C
Chemi - D
Geog - D
Math - E
Eng - D
Kiswa - B
 
Tumeweka hapo juu document ya Application za mkopo. Utaisoma vizuri na kuijaza, kisha utaipitisha katika ofisi za serikali ya mtaa na mahakamani. Pia, utahitajika kuambatanisha viambatanisho vyote vya kusuport application yako ya mkopo.
Ahsante mkuu ngoja tu apply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…