Ni shule ya day na boarding inachukua wanafunzi wa combinations za HGL, HGK NA HKL, ni shule ya kikristo na inatoa huduma pasipo na kubagua dini, ada yake ni nafuu kwa maelezo zaid npm
Shule ipo mkoa mpya wa songwe ni km 2 kutoka main road ya kwenda Zambia, ada ni mil. 1.2 kwa mwaka na hiyo ni kwa boarding wakati day ni nusu ya hiyo kias pia unaweza kulipa kwa awamu kulingana na kipato chako mzazi , matokeo ya mwaka juzi wote walifaulu kwa daraja la kwanza na la pili, kwa mwaka huu mategemeo ni makubwa, karibu sana mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.