Nafasi za kujiunga na jkt 2013

Nafasi za kujiunga na jkt 2013

Maliselo

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
233
Reaction score
30
Habar wana great thinker, please pleas mwenye eny infor kuhusu nafas za jkt kwa intek ya pili 2013 hua znatangazwa lini?? Please your infor wadau wil be msaada mkubwa pia kwa wengine
 
Habar wana great thinker, please pleas mwenye eny infor kuhusu nafas za jkt kwa intek ya pili 2013 hua znatangazwa lini?? Please your infor wadau wil be msaada mkubwa pia kwa wengine

Muulize Zitto Kabwe au mtoro Nyambari Nyangwine
 
Mkuu unayeukizia jkt..kuna information ambazo nilizipata kwamba hawa jamaa wanarecruit kwa sasa madaktari tu pekee yao na wako willing kuchukua hadi watu 200kwa sasa ...
Nadhani wanataka watu wa kuwapeleka darfoo na congo mashariki . Africa ya kati na sasa mali kwa ajili ya kutibu majeruhi wenzangu na mimi tukisoma maacciunts sijui. IT.computer imekula kwetu
 
New recruit wataanza kuchukua mwez wa 5 mwshon o wa 6 mwanzon, bt cdhan watu wote watakaochukuliwa wawe madaktar tu
 
New recruit wataanza kuchukua mwez wa 5 mwshon o wa 6 mwanzon, bt cdhan watu wote watakaochukuliwa wawe madaktar tu

Mbona umekuja kama mchangia mada wakati wewe ndio ulileta hii mada!taarifa umepata wapi?
 
Nliweka mada bt ckukaa tu kusubir majb yenu pekee bali i was also searchn som othrs source of an informatn, nlienda kwa washaur wa jkt wilaya ya kino ndo wakanipa tht infors nkaona c mbaya kushare pia wit fans hu wuld lyk to knws
 
Back
Top Bottom