Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,224
- 17,079
Kaka humo ndani pana kazi zote au watu wa afya pekee yake ndo wanayo hitajika...?Wadau..Kwa wale wanaopenda kujitolea kufanya kazi melini..kuna hii taasisi ya Mercyship hawa wana Meli ambayo ni hospital..kusaidia wenye mahitaji maalum..katika nchi mbalimbali..waweza jaribu..ingia www.mercyships.org kwa maelezo zaidi.
Hiyo link aifungukiView attachment 521933 Wadau..Kwa wale wanaopenda kujitolea kufanya kazi melini..kuna hii taasisi ya Mercyship hawa wana Meli ambayo ni hospital..kusaidia wenye mahitaji maalum..katika nchi mbalimbali..waweza jaribu..ingia www.mercyships.org kwa maelezo zaidi.
Shukrani Mkuu kwa ufafanuzi...Haifunguki kwasababu uki click inabadilika inajiweka www.mercyshups.org, so simply una edit pale kwenye "u" unaweka "i" then press go itafunguka vizuri