Nafasi za kujitolea:Mercyships

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
11,016
16,447
images (2).jpg
Wadau..Kwa wale wanaopenda kujitolea kufanya kazi melini..kuna hii taasisi ya Mercyship hawa wana Meli ambayo ni hospital..kusaidia wenye mahitaji maalum..katika nchi mbalimbali..waweza jaribu..ingia www.mercyships.org kwa maelezo zaidi.
 
Kaka humo ndani pana kazi zote au watu wa afya pekee yake ndo wanayo hitajika...?
 
Kwenye meli tena?!

Kutoa huduma ya kwanza kwa wavuvi au inakuwaje hiyo?
 
Back
Top Bottom