Nafasi za Kujitolea JKT 2014 Zimetoka

Nafasi za Kujitolea JKT 2014 Zimetoka

Dela

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
78
Reaction score
13
Haya kwa wale vijana wazalendo na tuliokuwa na mapenzi mema na nchi na vyombo vyake vya ulinzi, nafasi za JKT kwa mwaka 2014 zipo hewani, tangazo kuta katika website yao yathibisha hilo. kwa maelezo zaidi fuata link hii:-
vijana kujitolea
 
Wameweka age limit,mwisho ni 23yrs..hapo bado watu kibao wataendelea kusugua benchi.
 
Ivi sasaivi ndo mishe mishe za wilayani zimeanza alaf january wanaandikisha waliochaguliwa? Au mishemishe za wilayani pia zitaanza january iyoiyo? Pls kwa anaejua apo
 
tatizo mtu akiweka tangazo hapa wengine hawafatilii hlf wanalaumu,naomba tusiwe wavivu.hii taarifa ni ya ukweli ingia web ya jkt ukishindwa ingia wavuti.com then chek option ya ajira/job list.asante na xmass njema
 
Haya kwa wale vijana wazalendo na tuliokuwa na mapenzi mema na nchi na vyombo vyake vya ulinzi, nafasi za JKT kwa mwaka 2014 zipo hewani, tangazo kuta katika website yao yathibisha hilo. kwa maelezo zaidi fuata link hii:-
vijana kujitolea

Sasa mi mnanichanganya, niliambiwa professional jwtz wanachukua kutoka jkt kwa mujibu wa sheria. Sasa kwa age hii watapata m2? Je jwtz ikoje? Nambien mjuao.
 
yani hapo shida elimu yenyewe ya tanzania ,age limit ni shida mimi mwenyewe njmemaliza chuo ila njmevuka 23
 
Back
Top Bottom