Ronis Kabelege
Member
- Dec 12, 2013
- 10
- 0
Kampuni ya Hardco traders & Intergic Ltd, yenye makao makuu mjini Tanga na sasa imefungua matawi mikoa ya Iringa, Ruvuma na Morogoro sasa inatangaza nafasi za kazi ya udereva kwa magari makubwa na madogo.
Mwombaji awe tayari kuingia mkataba wa kazi na kampuni. Pia awe tayari kuishi mahali popote ndani ya mikoa tajwa hapo juu.
Awe na umri wa miaka 18-35.
Maombi yatumwa kwa -
Email hii- hardcotradersintergic@gmail.com
MKURUGENZI MTENDAJI,
HARDCO TRADERS & INTERGIC LTD,
P.O.BOX 6410
TANGA.
Mwisho wa kutuma maombi ni tar 17/09/2014.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu no.
+255222348717
0764166801.
NB. Usisahau kuweka namba yako ya simu.