Nafasi za kazi za Ualimu

Nafasi za kazi za Ualimu

Bishweko

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
5,047
Reaction score
3,564
Habari zenu wasomi na walimu wote kwa ujumla. Ninazo nafasi za kazi ya ualimu kama ifuatavyo
1.History (1) Advanced Level
2.Physics (2) Advanced Level
3.Kiswahili (1) Advanced Level
4. Geography (2) Advanced Level
5.General Studies(1)
Shule ni nzuri,mazingira mazuri .
Tunakupa nyumba
Maji bure
Umeme bure
Mishahara mzuri.
NOTE: Wanahitajika walimu wenye shahada na kuendelea tu.
No.0622658064.
Ahsante
 
Hiyo ni shule bubu??tangazo halina sifa kimekaa kitapeli
Hakuna kitu kizuri kama kua na busara,hekima na staha katika jamii. Kama wewe si mwalimu maana yake alikuhusu ilo tangazo. Na kama ulizoe kufanya hivyo basi jiheshimu uache mara moja. Si mara ya kwanza kuleta tangazo la ajira humu na wapo nimewapata kupitia humu ushahidi tangu 2007. Wewe bila shaka ni mgeni apa JF na limbukeni. Learn how to live with people in peace.
 
Member wa 2018 ,13,August unaleta ujinga apa. Sijui King Modric ..heshimu mambo ya watu .
 
Nipo humu kabla yako mkuu,lengo langu kuu ni kukukumbusha juu ya kufuata taratibu za uandishi WA tangazo...sio unaandika tu kama tangazo LA kiti moto !,bahat nzur mm nilikuwa mwalimu,ulitakiwa kuandika jina LA shule,location,sifa za waombaji nk.

Hakuna mwalimu mwenye tabia kama zako.Ila wewe usiombe,waache wanaotafuta na wenye uhitaji waombe.
 
Mkuu yaishe,sikuwa na nia ovu kwako,ila siku zote ukweli mchungu...mimi siwezi omba coz niliachana na ualimu sasa hiv ni nafanyabiashara ya madini,karbu arusha
Hakuna mwalimu mwenye tabia kama zako.Ila wewe usiombe,waache wanaotafuta na wenye uhitaji waombe.
 
Hakuna anaetaka kujua unafanya nini mkuu...ila kua na busara na hekima
 
Mkuu ungeweka taarifa za kujitosheleza ili kusiwe na shaka ya kuibiwa kwa wana jamvi, jina la shule na mahali iliko lingekuwa jambo la msingi sana!

Huyo king modric kuwa mchanga wa kuwa humu JF si hoja kakupa ushauri mzuri tu ila namna ya uwasilishaji wake kidogo ndio ulikuwa na doa, mimi binafsi ni mkongwe humu ila haya huwezi kuyajua kirahisi fuata ushauri wetu weka jina la shule na mahali iliko na taarifa zingine muhimu.
 
Nipo humu kabla yako mkuu,lengo langu kuu ni kukukumbusha juu ya kufuata taratibu za uandishi WA tangazo...sio unaandika tu kama tangazo LA kiti moto !,bahat nzur mm nilikuwa mwalimu,ulitakiwa kuandika jina LA shule,location,sifa za waombaji nk.
Kitimoto Kama hicho hapo
tapatalk_1559973836850.jpeg
 
Mkuu ungeweka taarifa za kujitosheleza ili kusiwe na shaka ya kuibiwa kwa wana jamvi, jina la shule na mahali iliko lingekuwa jambo la msingi sana!

Huyo king modric kuwa mchanga wa kuwa humu JF si hoja kakupa ushauri mzuri tu ila namna ya uwasilishaji wake kidogo ndio ulikuwa na doa, mimi binafsi ni mkongwe humu ila haya huwezi kuyajua kirahisi fuata ushauri wetu weka jina la shule na mahali iliko na taarifa zingine muhimu.
Ahsante ila kama mtu anafikiria kuibiwa wala hamna aja kupiga simu hiyo namba au kuomba.
 
Habari zenu wasomi na walimu wote kwa ujumla. Ninazo nafasi za kazi ya ualimu kama ifuatavyo
1.History (1) Advanced Level
2.Physics (2) Advanced Level
3.Kiswahili (1) Advanced Level
4. Geography (2) Advanced Level
5.General Studies(1)
Shule ni nzuri,mazingira mazuri .
Tunakupa nyumba
Maji bure
Umeme bure
Mishahara mzuri.
NOTE: Wanahitajika walimu wenye shahada na kuendelea tu.
No.0622658064.
Ahsante
acha utapeli ndugu utanyea ndoo bila kutarajia.
 
Nilimwambia tangazo limekaa kitapeli eti ananiambia nimgeni JF SIJUI chochote.yaan mbishi hatari hataki kufuata ushauri kbsa..sijajua kiwango cha cha elimu maana “scholar”hawezi kuwa mbishi kiasi hiki
acha utapeli ndugu utanyea ndoo bila kutarajia.
 
Ili ndiyo tatizo letu wabongo, sioni huyu mtu amekosea wapi. Mbona watu wamepiga simu ata mimi na jamaa anakuelekeza vizuri shule ilipo na kipi cha kufanya. Ila mimi nimeogopa kufanya interview ya mitihani maana unaweza kuumbuka. Wazee ebu tuache kuchafua watu labda ana sababu za kutuma hivyo tuachane na utoto wa kupata smartphone za boom alafu tukadhani sisi tuko smart sana.
Jamani kama kuna anaeweza kufanya paper la Physics aisee mtafuteni huyo jamaa.
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Back
Top Bottom