Nafasi za kazi Wizara ya Kilimo na Chakula | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi Wizara ya Kilimo na Chakula

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mwankuga, Jan 6, 2012.

 1. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  [FONT=&amp]JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA[/FONT]
  [FONT=&amp]WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA[/FONT]
  [​IMG]
  [FONT=&amp]TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI[/FONT]

  [FONT=&amp]Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika anawatangazia Watanzania wote wenye sifa zilizoanishwa hapa chini watume barua za maombi ya kazi zifuatazo.[/FONT]

  [FONT=&amp]1.[/FONT][FONT=&amp] Afisa Utafiti Kilimo Daraja la II (Agricultural Research Officer II) Nafasi 70[/FONT]

  [FONT=&amp] (a) Sifa za waombaji [/FONT] [FONT=&amp] Wawe wamehitimu Shahada ya Kilimo (Bsc Agriculture General), Uchumi Kilimo, Uhandisi Kilimo, Food Science and Technology, Biotechnology Laboratory Sciences, Agronomy,Bsc Environmental Science na Horticulture kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

  [/FONT] [FONT=&amp](b) [/FONT][FONT=&amp]Majukumu[/FONT]

  Ø
  [FONT=&amp]Kusaidia kukusanya na kuandika ripoti za utafiti chini ya maelekezo ya Afisa Utafiti Kilimo Mwandamizi.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kukusanya, kurekodi na kuchanganua takwimu za kazi za Utafiti zinazoendelea.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kusaidia katika kuendesha semina na kuwaelekeza wakulima jinsi ya kutumia teknolojia mpya kwa kuzingatia hali ya uchumi na mazingira yake.[/FONT] Ø [FONT=&amp]Kutoa ripoti ya maendeleo ya Utafiti na mapendekezo ya Utafiti katika Mikutano ya kanda.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kufanya shughuli za Utafiti chini ya maelekezo na uangalizi wa Afisa Utafiti Kilimo Mwandamizi.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Pamoja na kazi nyingine za Utafiti kama atakavyopangiwa na kiongozi wake wa kazi.[/FONT]

  [FONT=&amp](c) Mshahara[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Mishahara ya Watumishi wa Serikali ngazi ya TGRS A.

  [/FONT] [FONT=&amp]2. [/FONT][FONT=&amp]Mhandisi Kilimo Daraja la II (Agro Engineer II). Nafasi 88[/FONT] [FONT=&amp]

  Waombaji watakaochaguliwa watapangiwa kazi Wizara ya Kilimo chakula na Ushirika na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).[/FONT] [FONT=&amp]
  (a) [/FONT]
  [FONT=&amp]Sifa za waombaji[/FONT]

  Ø [FONT=&amp]Wawe wamehitimu Shahada ya Uhandisi yenye mwelekeo mkubwa katika fani ya Kilimo, Umwagiliaji,Ujenzi,Ufundi na Mazingira kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali[/FONT]

  [FONT=&amp](b) [/FONT][FONT=&amp]Majukumu[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za Kilimo[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kushirika katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana.[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kushiriki katika ujenzi wa miradi ya Umwagiliaji[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kushiriki kutengeneza michoro/ramani za umwagiliaji.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kukusanya takwimu za miradi ya umwagiliaji[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kufuatilia program za mafunzo ya wanyamakazi mafundi wa matrekta wa wakulima jinsi ya matumizi ya wanyama kazi na matrekta[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kushiriki kuratibu na kutoa huduma za umwagiliaji pamoja na matumizi ya maji.[/FONT] Ø [FONT=&amp]Pamoja na kazi zingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kupitia mapendekezo ya miradi mbalimbali ya ufundi yanayowasilishwa Wizarani.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kusimamia mikataba ya ujenzi/ukarabati wa miundombinu ya umwagiliaji.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kushirikiana na mafundi sanifu kuwafundisha wakulima uendeshaji wa skimu za umwagiliaji[/FONT] [FONT=&amp]

  (c) [/FONT]
  [FONT=&amp]Mshahara[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp] Mishahara ya Watumishi wa Serikali ngazi ya TGS E.[/FONT]

  [FONT=&amp]3. [/FONT][FONT=&amp]Afisa Kilimo Daraja la II (Agro – Officers II) Nafasi 378[/FONT] [FONT=&amp]
  Waombaji watakaochaguliwa watapangiwa kazi Wizara ya Kilimo chakula na Ushirika na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).[/FONT] [FONT=&amp](a) [/FONT][FONT=&amp]Sifa za waombaji[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Wawe wamehitimu Shahada ya Sayansi Kilimo (Bsc.Agriculture General,Bsc.Horticulture,Bsc.Agronomy,Bsc.Environmental Sciences) na Mazingira kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

  [/FONT] [FONT=&amp](b) [/FONT][FONT=&amp]Majukumu[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea[/FONT] Ø [FONT=&amp]Kukusanya takwimu za bei za mazao kila wiki na kila mwezi[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kukusanya takwimu za upatikanaji wa mazao katika masoko kila wiki/mwezi[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kuendesha mafunzo ya wataalamu wa Kilimo[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kufanya ukaguzi wa ubora na matumizi ya pembejeo na zana.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Ufuatiliaji wa mwenendo wa soko la mazao ya biashara[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kuendesha mafunzo juu ya hifadhi bora ya udongo na maji[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kutoa habari juu ya teknolojia mpya kwa wadau[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kuandaa/ kuandika taarifa za utekelezaji kwa sekta ndogo ya mazao.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kusimamia/kuendeleza taaluma ya uzalishaji mboga, matunda, maua na mazao mengine.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kusimamia/kuendeleza uzalishaji wa mbegu bora[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kuandaa, kutayarisha, kufunga na kusambaza mbegu bora[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kufanya ukaguzi wa mbegu mpya kwa kushirikiana na Watafiti wa mbegu kabla kupitishwa[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kuendesha mafunzo ya kuzalisha mbegu matunda, maua na viungo[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya bustani[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kufanya utafiti mdogo mdogo wa mazao yanayofaa kulimwa katika sehemu ya Kilimo cha Umwagiliaji.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kufanya utafiti wa udongo[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kuhamasisha uanzishaji wa vikundi vya wakulima/ wamwagiliaji[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kuzalisha mbegu za msingi baada ya kuzalishwa na watafiti[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kuendesha/kusimamia vishamba vya majaribio vya mbegu na uchunguzi maabara ili kuondoa utata juu ya mbegu.[/FONT]

  [FONT=&amp](c) [/FONT][FONT=&amp]Mshahara[/FONT] [FONT=&amp] Mishahara ya Watumishi wa Serikali ngazi ya TGS D.[/FONT] [FONT=&amp]

  4. [/FONT]
  [FONT=&amp]Mkufunzi Kilimo Daraja la II (Agricultural Tutor II) Nafasi[/FONT][FONT=&amp] 38[/FONT]
  [FONT=&amp] Waombaji watakaochaguliwa watapangiwa kazi ya kufundisha katika vyuo vilivyo chini ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.[/FONT]

  [FONT=&amp] (a) Sifa za waombaji[/FONT] [FONT=&amp]Wawe wamehitimu Shahada ya kwanza yenye mwelekeo wa Kilimo (Bsc.Agriculture General,Bsc.Agricultural Engineer,Bsc. Agronomy, Bsc.Irrigation Engineer) kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo- Sokoine au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

  [/FONT] [FONT=&amp] (b) Majukumu
  [/FONT] [FONT=&amp] Kufundisha kozi za stashahada na astashahada za kilimo nadharia na vitendo[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kuandaa mtiririko na mpangilio wa masomo (Lesson Sequences and Plans)[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kusoma na kuelewa vema mihutasari ya mafunzo na kuitafsiri kwenye masomo[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kuandaa na kufundisha kozi za wakulima [/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kuandaa na kupanga somo la vitendo na kusimamia wanachuo wakati wa kujifunza[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kupima maendeleo ya wanachuo kwenye mitihani kwa kipindi chote kinachohusika na kutunza alama zao.[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Kupima maendeleo ya wanachuo kwa kushirikiana na Maafisa Kilimo wa Wilaya/Viwandani wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field Practicals).[/FONT]
  Ø
  [FONT=&amp]Kutekeleza shughuli nyingine za kikazi kadri atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

  [/FONT] [FONT=&amp] (c) Mshahara[/FONT]
  Ø [FONT=&amp]Mishahara ya Watumishi wa Serikali ngazi ya TGS D.[/FONT] [FONT=&amp]Waombaji wote katika barua zao ni lazima waonyeshe sehemu ambayo wangependa kupangiwa kwa nafasi zile zinazohusisha zaidi ya wizara moja. Hata hivyo uamuzi wa mwisho juu ya vituo ni wa mwajiri/ Mamlaka za ajira ambako nafasi zinapatikana.[/FONT] [FONT=&amp]\[/FONT]

  [FONT=&amp]MAMBO YA KUZINGATIA[/FONT] [FONT=&amp]Barua za maombi ziambatane na Curriculum Vitae (CV), picha ndogo mbili ukubwa wa pasipoti, cheti cha kuzaliwa, vivuli vya vyeti vya kuhitimu elimu ya sekondari na Shahada husika .[/FONT] [FONT=&amp]Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45.[/FONT] [FONT=&amp]Wahitimu walioajiriwa Serikalini hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi kwasababu tayari wana ajira[/FONT] [FONT=&amp]Wahitimu waliotuma maombi yao kabla ya tangazo hili wanashauriwa kutuma maombi upya.[/FONT] [FONT=&amp]Barua zote za maombi ziwasilishwe katika muda wa siku 14 kuanzia [/FONT] [FONT=&amp]tarehe ya kwanza ya kuonekana tangazo hili.[/FONT] [FONT=&amp]Tangazo hili linapatikana pia kwenye tovuti ya Wizara, Tanzania -- Ministry Of Agriculture, Food and Cooperatives- Home Page[/FONT] [FONT=&amp]Barua za Maombi zitumwe kwa:[/FONT] [FONT=&amp]

  Katibu Mkuu,[/FONT]
  [FONT=&amp] Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika,[/FONT]
  [FONT=&amp] S.L.P. 9192,[/FONT]
  [FONT=&amp] DAR ES SALAAM.[/FONT]
   
 2. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,894
  Trophy Points: 280
  Saaafi, hii kilimo pili mmh! Thanks for the info....!
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  safi sana,haya agro engineers from sua kitu hichoooooooo,
   
 4. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongera wizara ya misosi
  Hapo kuna intavyuu kweli,au ukiandika barua unasubiria kuitwa kunako kazi.
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ahsabnte kwa taarifa za kilimo TATU.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Haya sasa wasuaso,uwanja wenu huo.
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mwenye kujua hayo madaraja ya mshahara tafadhali atufafanulie.
   
 8. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mmmh jamani,ndo umeziona leo kazi za Mwezi Novemba na deadline imeshapita!!
   
 9. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Na gazet la leo mwananch limetoa majina walochaguliwa na maeneo ya kazi.
   
 10. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kakopi na kupaste tuu bila kusoma. Huu ni mfano mzuri kwa wale sema kuwa viongozi huwa wana-represent who we are.
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Ukiondoa hao agricultural engineers, maofisa wote waliotaja salary scale yao ni TGS D mshahra unaanzia na 470,000/= ambapo ukikatwa hayo makato lukuki, unatoka na net salary ya around 360,00 hivi. Kazi kwako sasa
   
 12. s

  soledad Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Na gazet la leo mwananch limetoa majina walochaguliwa na maeneo ya kazi.

  gazeti la mwananchi lina majina lakini sio ya hizo zilizotangazwa novemba, majina hayo no ya maafisa klilimo wasaidizi daraja la iii
   
 13. s

  soledad Member

  #13
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ]Na gazet la leo mwananch limetoa majina walochaguliwa na maeneo ya kazi

  majina ya ktk mwananchi sio ya hizo kazi za novemba ni ya maafisa kilimo wasaidizi daraja iii
   
 14. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  heko mkuu kutu up date
   
Loading...