Nafasi za Kazi USA

usernameyangu

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
249
358
Wadau Naomba kuuliza mwenye kufahamu jinsi ya kupata kazi nchi Kama USA,mwenye kuweza kunipa elimu karibuni Mnisaidie..
 
Mleta uzi weka majibu ya haya maswali kisha upewe majibu mubasharaaaa

Taja kiwango chako cha Elimu yako, umri, dini za kigeni ulijiunga na ipi!?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Duuhh sio mbaya ngoja tuwasubiri....

Nilijua ww ndo umeleta links za nafasi za kazi huko kwa Mzee Trump basi nikaharikia kumbe dah!!
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Mleta uzi weka majibu ya haya maswali kisha upewe majibu mubasharaaaa

Taja kiwango chako cha Elimu yako, umri, dini za kigeni ulijiunga na ipi!?
Tuanzie hapo kwanza.

26 DiP computers science
 
26 DiP computers science

Sawa. Hiyo level yako ni ndogo Sana Kwa kazi USA, Nikushauli jambo moja zuri Sana , Tafuta scholarship ya kusoma Bachelor ya computer science USA, ila kwanza kwa diploma utasumbuka Sana.

Hivyo. Wakati unasoma pia unatafuta hiyo ajira. Hiyo, itakuwa rahisi Sana kufanikisha adhima yako ya kuishi USA.
Asante. Naamini, umeelewa.
 
Back
Top Bottom