Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
oooh ulaya = mbele...Nenda NMB ukalambe shavu mkuu...Pale ukitoka Mbele(Ulaya) unapapatikiwa kama mfalme mswati vile....
oooh ulaya = mbele...Nenda NMB ukalambe shavu mkuu...Pale ukitoka Mbele(Ulaya) unapapatikiwa kama mfalme mswati vile....
halafu bado tunataka maendeleo kama ya dunia ya kwanza....Hapa Bongo criteria ya kupata kazi, ni "who do you know and not what do you know"
halafu bado tunataka maendeleo kama ya dunia ya kwanza....
nini kingine kinatakiwa? inaonekana wewe unafanya kazi SUA...
NIMESOMA BSc YANGU HAPO SUA NAOMBA MSIKIMBILIE KABISA KWANI KUNA IDARA ZA "WAHAYA", "WACHAGA" NA "WAHEHE" SASA SIJUI UJUZI WAKO UMELALA IDARA GANI.
I KNOW THEM VERY WELL
huyo mdogo wako ni he au she?
Nenda NMB ukalambe shavu mkuu...Pale ukitoka Mbele(Ulaya) unapapatikiwa kama mfalme mswati vile....
si kweli kaka labda hujatambua thamani yako, ukienda kwenye mabenki watu wa mbele wanapapatikiwa kinoma hata kama unadiploma, mimi niliacha bank bcoz of that...niliona dharau yani mtu umepiga shule kinoma na mambo unayapeleka kinoma alafu kanakuja kadem eti kamesoma diploma ya IT security kanakua ka-incharge af kanakula mawe ya maana...
damt nikasepa nikaenda kwa watu wanaovalue professionalism.
wanatoa vyote nini?Kaka hivyo videmu vinatoa vyote ndio maana wanapata hizo nafasi, wengi wao ni mao-opportunistic kwa hiyo mabosi nao wanajua kwamba ni mapoozeo.
lecture na communication skill gani? ni material tu unayaweka hapo PP au ubaoni unaeleza logic tu mengine wanasoma wenyewe kwani ni watoto au ni politics?Kwanza mimi sifanyi kazi SUA,ni kweli GPA tu haitoshi,jamaa wanatafuta academic staff na mtu anaenda ni kweli ana GPA nzuri lakini ana "Poor communication skills "sasa huyo atapataje kazi,hicho ni moja tu ya sababu ingawa ziko nyingi naamini humu kuna ma-maneja uajiri watani saidia pia.
mdogo wako anaitwa nani?Mdogo wangu bila kuwa na MTU YEYOTE wa kumsimamia, kapata kazi SUA.
Na tena cha AJABU ni kuwa wao ndiyo walimlilia. Anyway, labda ana bahati zake.
Jaribuni na nyie mwaweza kuwa kama yeye. Mgaa gaa na upwa...
ya kweli hayo mkuu? mbona basi mambo ni magumu, si wengine tutaendelea kugonga mawe tu mtaani!
http://www.suanet.ac.tz/docs/job_adv.pdf
ngojangoja yaumiza matumbo....suala la kujua hatukatai lipo karibu kila mahala si sua tu ila mtegemee Mungu iko siku watakosa kisingizio na utapata ajira keep on applying
Mkuu, soma maelezo yangu hapo juu. Kama ulikimbia eti kwa sababu mwanamke kakutawala basi inaonekana kweli Tanzania kuna kazi nyingi maana hadi mnachagua. Ila kungelikuwa hakuna, ungelia naye hadi maboss wakuone ukali wako.
kadem kalikukimbiza mzigoni, lolkanakuja kadem eti kamesoma diploma ya IT security kanakua ka-incharge af kanakula mawe ya maana...