Nafasi za kazi polisi na magereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi polisi na magereza

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by HEMED SULEEY, Mar 16, 2013.

 1. HEMED SULEEY

  HEMED SULEEY Member

  #1
  Mar 16, 2013
  Joined: Mar 2, 2013
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wadau naombeni mnijuze lini eti nafasi za polisi na magereza zinatoka?:a s 39:
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2013
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,041
  Likes Received: 6,912
  Trophy Points: 280
  Wewe una level gani ya elimu ndugu yangu?
   
 3. Yona Edson

  Yona Edson JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2013
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,659
  Likes Received: 6,062
  Trophy Points: 280
  acha ujinga wewe kama huna cha kumjibu kaa kimyaa
   
 4. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2013
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,041
  Likes Received: 6,912
  Trophy Points: 280
  Jipu, jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza ndugu yangu.

  Inavyokuwa:

  JKT - usaili wao unaanza kabla ya wengine

  Form 4 & 6 - Wanafuata

  Profefessionals - last! halafu hawa wanakuwa recruited as per need..sio kwa mkupuo tena. Yaani unaweza kuajiriwa kama raia kwanza then muda wa kwenda depo ukifka wanaenda na wenzao.

  Ndiyo maana nikamuuliza..now Mr. sir Jipu...ujinga wangu ni upi!:nono:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2013
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,415
  Likes Received: 3,081
  Trophy Points: 280
  anaweza mpa ushaur na taarifa pia....ni swali zuri...
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2013
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,939
  Likes Received: 658
  Trophy Points: 280
  Kwa mwaka huu sidhani kama wataajiri tena!
   
 7. HEMED SULEEY

  HEMED SULEEY Member

  #7
  Mar 17, 2013
  Joined: Mar 2, 2013
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Level yangu ya elimu ni diploma ya computer science na lience driver ya class e
   
 8. musangano

  musangano Senior Member

  #8
  Mar 18, 2013
  Joined: Nov 17, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Polisi wametoka kuajiri mwaka jana october kwanzia diploma mpaka degree, wapo kambini moshi ndo wanamalizia
   
Loading...