Nafasi za Kazi NSSF

Mbona wafanyakazi wake wachovu 2, hawana jipya! kaz raman za ela na c salary ya kilo 8 kavu!
 
sio NSSF ya Tz ni ya Uganda.
See below

Apply to

Head of Human Resources,

P. 0. Box 7140 Kampala

or hand deliver them at our Head Office, Worker's House, Plot 1, Pilkington Road at the Reception on 14th Floor.
 
Unaweza kuomba kama ni raia wa afrika mashariki vikwazo vingi vya ajira vimefutwa na kupunguzwa changamkeni watanzania kule somalia , sudani kusini na maeneo mengine hakuna wataalamu huko
 
Nssf kama hiki wanachokisema watu nyie mnakifanya kweli mi nadhani hii itakuwa sio sifa nzuri kwenu baadhi yetu ni wataalam wa rasilimali watu, tutasikitika sana kama taasisi kubwa kama hiyo kuwa na tabia hizo maana mnalaumiwa jamani directors, human resources team hapo angalieni hili.... Y not equal opportunity distribution, angalieni hata hiyo hr policy yenu jamani mi nina imani nanyi bado....
 
Hata kama ni east african community..lakin ajira za mashirika ya umma na serikalini ajira ni kwa raia wa nchi husika 2.
 
Back
Top Bottom