Nafasi za kazi NSSF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi NSSF

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mtaratibuuuuuu, Oct 17, 2011.

 1. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahanini wandugu,kama kuna yeyote aliyeona au anajua kuhusu nafasi za kazi zilizotolewa na NSSF last wk tafadhali naomba aniambie,na wanataka nini kiambatanishwe,na deadline ni lini?.Nitashukuru sana.
   
 2. G

  Galconex Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niliziona Kazi Bongo...
   
 3. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  check link hapa chini na uapply fasta deadline tar.21/10 sio dhambi ukiweka vyeti vyote na hawa jamaa e-mail zao huwa haziwork so bora utume kitu bahasha yenye kila kitu ndani

  KaziBongo: NSSF EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
   
 4. mankipe

  mankipe Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
 5. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkipata kazi tujulishane wandugu haya mashirika yamejaa ubabaishaji undugu,udini nk.nilpiga interview yao mwez june nikiwa na washkaji zangu kama kumi na tano wote atukuitwa katita second interview after doing wrting interview.ajabu kuna mtu kapewa mkataba wa ajira tareh 7.10.2011 leo karipoti mzigoni mkoa flani kuanza kazi WENGINE NDIO MNAANGAIKA NA BAHASHA ZA KAKI kabla ya deadline day.POLENI WADANGANYIKA na hapy bthday ya 50 ya TZ
   
Loading...