Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

lake zone....central zone.....southern

central zone walishapiga usaili before 21/3, North zone na wao washapiga usaili,bado western na eastern zone ambao hawajaanza kuita! Southern na lake zone sijui!!!
 
Tbs pia wametoa nafasi nunua mwananchi ya leo
 
Zone zote NMB zimetoa ajira. Bank officer.
Anuani za nmb bank ktk kanda zake. Eastern zone box 1066 Moro.
Western box 681 Tabora.

Lake zone box 1580 Mwanza.
Nothern zone box 1256 Arusha.

Southern zone box 625 Mtwara.

Highland zone box 792 Mbeya.

Central zone box - Dodoma

Dead line next week plz.
Apply this week to be safe.
 
Zone zote NMB zimetoa ajira. Bank officer.
Anuani za nmb bank ktk kanda zake. Eastern zone box 1066 Moro.
Western box 681 Tabora.

Lake zone box 1580 Mwanza.
Nothern zone box 1256 Arusha.

Southern zone box 625 Mtwara.

Highland zone box 792 Mbeya.

Central zone box - Dodoma

Dead line next week plz.
Apply this week to be safe.

Una uhakika na andishi lako!!!
 
kwanini nidanganye watu ndugu yangu?

Maana sikuelewi! Watu walishafanya usaili zone zaidi ya mbili! Mbili tena walishafunga appctn maana ilikua 21/3/2014

Ambazo ni Western na eastern zone!! Kama unabisha nikupe no za hr wa tabora na morogoro!! Ndo maana nime doubt!!!
 
central zone walishapiga usaili before 21/3, North zone na wao washapiga usaili,bado western na eastern zone ambao hawajaanza kuita! Southern na lake zone sijui!!!

kwa taarifa nafac zote zmejaa, bt cmaanish msitume!. Kaz kabla haijatangazwa tayar kuna watu wamejaza nafac. Hii ndo tz
 
hizo kazi za NMB zileteni hapaaa basii tuzione wadau.....ISIJE KUWA KAMA ZILE ZA JWTZ..
 
ki ukwel it depends,mie nilifanya dom ...wrttn ilikua amptitude test bodmas ,mafumbo,general qns,oral ilikua kawaida tell me abt yourself,ukipata loss utafanya j,mtu akiacha keepchange itakuaje n.k
 
jmn tafadhal,naomben mnisaidie dead line ni tar ngap?mana wengine tupo porin uku.ko iyo wik ijayo itakua tar ngap?
 
naomba unambie iyo deadline tar ngap?mana mm nipo porin ,ili nijue kama nikienda kutuma j3,kama nitakua sijachelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom